Zigooo zigoooo

Zigooo zigoooo

2d0bcb16a1441e87e8c30e222cd31722.jpg

Hahahahahaa huyu dada ni memba humu JF.....
Tangu siku nyingi anapenda kufanya mazoezi ya kutembea barabarani jioni na jogging. Mwenyewe hana hata habari kuwa anawachelewesha watu, hapo ni pwata pwata pwata pwata kwa maraha yake heheheheheheh ila wanawake tukipata upenyo huwa tunajua kiuutumia aiseeh sio kwa maringo hayo hehehehee. Ila paparazzi nao hawapitwi na tukio looh..... utasema walipanga kumbe imetokea tuu... motion hehehee.

Kasie Cough Kasiba .
 
Anaitwa nani humu!? Sio witnessj kweli!!!!
 
hahahaha huyu namjua, afu yupo humu. nilikaribishwa nikazingua, kumbe ndo alivaa hivi duuh
 
Mention huyo mtu akuje hapa watu wamedata. Hadi vibabu vya kizungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom