Zifahamu nchi 10 bora kwa usafi barani Afrika

Rwanda wale mamanzi wa kule wanaifanya ionekane safi zaidi
 
Bahati nzuri nchi zote hizo nimefika, mwandishi hajafika nyamirambo, kicukiro kule ndani na mitaa mingine ya ndani. Namibia kwangu ni safi kuliko zote hizo ikifuatiwa na Morocco. Rwanda haupaswi kuingia hata 3 bora.
Na Majerwa.........
ila burusheti zao sio mchezo...
 
Bahati nzuri nchi zote hizo nimefika, mwandishi hajafika nyamirambo, kicukiro kule ndani na mitaa mingine ya ndani. Namibia kwangu ni safi kuliko zote hizo ikifuatiwa na Morocco. Rwanda haupaswi kuingia hata 3 bora.
Mi najua rwanda safi pale kigali town, sehemu zilizobaki zinajaribu tu
 
Dar miaka michache iliyopita iliwahi kushika nafasi ya tatu kwa majiji machafu Afrika halafu duniani ilishika nafasi ya saba.
😂 😂 😂 Hii inasababishwa na nini mkuu?
 
Na nijuavyo huwezi kuwa Msafi namba moja kama ilivyo hapo kwa nchi ya Rwanda halafu Kichwani usiwe na Akili sana. Hongera sana kwa Rwanda kuwa #1 na kuna nchi ningeiona hapa katika list hi ningeishangaa mno na hata kuikatia Rufaa.
Ndio maana halisi ya Visit Rwanda. Kagame hawezi ruhusu mji uwe mchafu
 
Cc: waione wazee wa kukojoa kwenye chupa za maji na kutupa mtaroni mwa barabara alafu waokota chupa wanaiokota na kuumwaga mkojo tayari kwa matumizi mengine hasa ya kuwekea juisi zetu zile za mtaani..
😂 😂 😂
 
Hahaah na ndio inaongoza ikifuatiwa na Arusha
 
Tanzania nazani inashika mkia si kwa wingi wa machinga na uchafu kwenye mabarabara hakuna green field za kutosha, kila sehemu mtu anaweza kufanya biashara.Tuendelee kupambana na wakina sabaya na gaidi mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…