N'tasoma machweo...
Nalia Ngwena...Niambie mdada wew
Nalia Ngwena...
Ubunifu ni kitu kimoja cha msingi sana katika maisha.
Unaweza kukutana na uzi mrefu kuanzia dar hadi moro, umepangiliwa kwa aya, unasoma aya moja baada ya nyingine pasi na kuchoka mpaka mwisho na haupotezi maana.
Na vilevile kuna vinyuzi vingine ni vifupi, havina mpangilio mzuri yaani ukisoma aya moja ama utangulizi tu unajikuta kichwa kinauma, unapiga miayo, kinachofuata ni kuamua kuutupilia mbali maana hauna maana.
Nimejitahidi nimesoma aya ya kwanza tu nika-lose interest kwa kweli.
Nipo hapa maeneo ya buza kwa mama kibonge, habari ni kwamba jamaa mmoja ambae hajafahamika jina lake wala la mpenzi wake, amemchoma kisu mpenzi wake hadi kufa.
Jamaa baada ya kumchoma mpenzi wake huyo, na yeye amejichoma kwa lengo la kujiua lakini mpaka naandika hapa alikuwa bado hajafa.
Tukio hili limetokea kwenye nyumba ya kulala wageni iitwayo East London hapa buza kwa mama kibonge.
Wenyeji wa hapa wanadai kuwa haijapita hata miezi mitatu tangu dada mmoja kunyongwa na mpenzi wake hadi kufa kwenye nyumba hii hii ya kulala wageni chanzo kikisemekana ni wivu wa kimapenzi.
Vijana tujaribu kutafuta namna bora ya kutatua changamoto zinazotukabili bila kuleta athari kama hivi.
Yaanii naona kama umeandika waraka hivi...samaraiz basiiWavivu wa kusoma utawajua tu km ww mkuu
Nipitie nn braza..?Mother Confessor ebu pitia tena then unipe mrejesho