Waliorecommend ndio wataalamu waliotengeneza Engine, unakuja kuomba Msaada kwa Watanzania ambao hata baiskeli, hatutengenezi ? Stick to recommended Engine oil ukikosa tumia mbadala wake iliondikwa kwenye user manual at least 5W30, ila next oil change rudi kwenye Engine manufacturer recommended oil, achana na mafundi wa chini ya mwembe watakao kushauro Maoil mazito kama 5W40 , Engine ikiinza kufuka Moshi wanakupiga hela ya overhaul baada ya hapo wanakuuzia Engine mpya kimeo kutoka Ilala 😂 mimi nina 1NZ always natumia 5w30, nikiwa sehemu ambayo haipatikani natumia 10w30 Mwisho. Ila chaajabu kuna watu wanaweka Sae 40 huku wakijigamba hii ni Toyota, Kama ni Maengine ya Zamani miaka ya 90 sawa ila hizi za VVTi ni jambo la muda kitakulamba.