Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,165
Ziara za 'mheshimiwa-mtukufu', akiwa Kahama, Singida, Mwanza, Simiyu, Shinyanga, Maswa..., maadhimisho y mapinduzi kule Zanzibar, maadhimisho ya siku ya Uhuru, sherehe za muungano, maadhimisho siku ya wafanyakazi, YOTE HAYO, YAMEONESHWA MUBASHARA (LIVE).., kumbe sasa tatizo la kutokuonesha 'Bunge-Live' siyo ukosefu wa pesa.., ila ni vipaumbele vya nani na kipi kionekanae., AU bado sababu ni 'Muda-wa-kufanya-kazi'!? Kwani wakati tunatazama hizo ziara, kazi zinakuwa zimesimama wakati huo..,