Ziara za Mhe. Edward Lowassa Mkoani

Ziara za Mhe. Edward Lowassa Mkoani

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
4,582
Reaction score
2,783
Tafadhali ndugu zangu. Nimekuwa mbali na media nyingi juu ya ziara za aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA na UKAWA, Mh. Edward N. Lowassa.

Mwenye updates atupe.
 
Jana Tanga police walizuia mkuu!
 
Anajidhalilisha tu, anadhani atapata tena media attention kama ilivyokuwa kipindi cha kampeni! Mshaurini akachunge N'gombe zake tu, ameitafuta mida mrefu sana ikulu naona ana gundu!
 
Walimshauri vibaya..wanachama bado wana makovu ya viti maalum yeye anataka kuwaendelezea usanii wake..Siku hizi hapati media attention kwa sababu hana influence yoyote..habari ya mjini ni majipu tu sio siasa za kinafiki
 
Watu wanataka kazi sio ziara.kuwashukuru wananchi ni kufanya kazi zenye tija kwa watanzania sio kuwaambia asante. Asante itasaidia nn bila kazi.
 
anafikri hii serikali ni ya Kikwete? hii ni ya magufuli. mambo ya kuwa huru kama anavyotaka yalishaondoka na serikali ya Kikwete.

Tafadhali ndugu zangu. Nimekuwa mbali na media nyingi juu ya ziara za aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA na UKAWA, Mh. Edward N. Lowassa.

Mwenye updates atupe.
 
Tafadhali ndugu zangu. Nimekuwa mbali na media nyingi juu ya ziara za aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA na UKAWA, Mh. Edward N. Lowassa.

Mwenye updates atupe.

Cdm hakuna kulala hadi kieleweke
 
Attachments

  • 1450460715706.jpg
    1450460715706.jpg
    16.4 KB · Views: 856
Kwa taarifa yenu!!! Kama siyo kukatazwa kukaa mita 200,rais angekuwa ni lowasa hata dunia inajua magu asingemshinda lowassa
 
Wanasema kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza ..mzee kaona bora aingie mwenyewe kitaa. Asipoangalia usaha utamrukia naye
 
Si zuri kumsema vbya m2 ambae hakufaham na wala ww humfaham na kumtuhum kwa hear saying za wa2 mkutano wa masaa 2 unahrb kip ktk hrkt za devt kuna mambo ni irrelevant w2 mnawawekea maneno midomoni ukikaa hpa isemee nafsi yko na si kuwasemea wtz wte as if ww ni msemaji wao
 
Wanasema kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza ..mzee kaona bora aingie mwenyewe kitaa. Asipoangalia usaha utamrukia naye

kwa iyo unamzidi lowasa uzuri? Hata wakikupaka samuli na lichama lako hata mbwa hawezi kukulamba
 
Back
Top Bottom