luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,788
Bingwa wa majungu rudi kwenu Rwanda UHAMIAJI HARAMU NI JIPU LITATUMULIWA TU
huyu hawezi kuwa mnyarwanda ni libaya ukiliona hata bora chimpanzi akiwa damu ya mnyarwanda mahama tz
Bingwa wa majungu rudi kwenu Rwanda UHAMIAJI HARAMU NI JIPU LITATUMULIWA TU
Anajidhalilisha tu, anadhani atapata tena media attention kama ilivyokuwa kipindi cha kampeni! Mshaurini akachunge N'gombe zake tu, ameitafuta mida mrefu sana ikulu naona ana gundu!
Tuulize (Is he an asset or a liability?)tutakujibu fasta.Tafadhali ndugu zangu. Nimekuwa mbali na media nyingi juu ya ziara za aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA na UKAWA, Mh. Edward N. Lowassa.
Mwenye updates atupe.
Hahaaaa.....luwasa ndio muigizaji.....nasikia jana kina mama waliandaliwa kuzimia