Composure ndio kitu gani hiko?Kutokana na ziara ya timu ya Yanga nchini Uturuki, wachezaji wa timu hiyo wamepata composure kwa pale wamekutana na gwiji wa zamani wa Real madrid Carlos.Na baadhi yao kupokea mafunzo yake! Ni vizuri sana.
Hata mm nimejiuliza mleta mada alikuwa anamaanisha nn kwa kutumia neno composer
Composure ndio kitu gani hiko?