Ngamanya Kitangalala
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 501
- 1,214
..kichwa cha habari hapo juu chahusika.
..Xi Jinping anatembelea Afrika lakini ktk ziara hiyo hatofika Tz.
..Katika eneo la Afrika Mashariki na Maziwa Makuu atatembelea Rwanda.
..JE,hiyo siyo DHARAU kwa mchango wa Tanzania ktk mahusiano ya China na Afrika?
..JE, hiyo siyo dalili mbaya ya kuporomoka kwa ushawishi wa Tanzania ktk masuala ya uchumi, diplomasia, na mahusiano ya kimataifa?
Baada ya kuchaguliwa tu Rais Xi Jinping ziara yake ya kwanza kutoka nje ya China ilikuwa ni Tanzania