Ziara ya Waziri Kombo nchini burundi

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
572
Reaction score
397
Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) aliyoifanya jijini Bujumbura, nchini Burundi kushiriki Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (The 7th Joint Permanent Commission for Cooperation – JPC), unaolenga kupitia hali ya utekelezaji wa makubaliano ya ushirikiano na kuweka mikakati ya kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kati ya nchi hizo mbili.

Your browser is not able to display this video.
 
Burundi imekubali kuchukua wahamiaji haramu kutoka USA ambao hawataki kurudi makwao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…