Egnecious JF-Expert Member Jul 8, 2015 875 960 May 15, 2016 #1 Viongozi wa Shirikisho la Elimu ya juu Taifa pamoja na WANEC Wa shirikisho Chama cha mapinduzi wakielekea zanzibar kwajili ya kikao
Viongozi wa Shirikisho la Elimu ya juu Taifa pamoja na WANEC Wa shirikisho Chama cha mapinduzi wakielekea zanzibar kwajili ya kikao
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 May 15, 2016 #2 Mbona wamenenepa sana, watakuwa wameenda kuangalia eneo linalotaka kuchimbwa mafuta na jinsi Serikali ya ccm taifa itakavyonufaika
Mbona wamenenepa sana, watakuwa wameenda kuangalia eneo linalotaka kuchimbwa mafuta na jinsi Serikali ya ccm taifa itakavyonufaika