Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,175
- 143,963
Hao wanamjua alivyo hivyo wanafanya kwa lengo la kumfurahisha na si kumwonyesha kuwa wana hela maana hela hata Marekani inazo. Ndo nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani.Ngoja wamuonyeshe matumizi ya pesa sasa maana hawa fahari wanaijua na wanaiweza
Kuna kuwa na uchumi mkubwa, halafu kuna kuwa na cash ya kutosha ndani..ikiwa una walau idea ya uchumi ni niniHao wanamjua alivyo hivyo wanafanya kwa lengo la kumfurahisha na si kumwonyesha kuwa wana hela maana hela hata Marekani inazo. Ndo nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani.
Hakuna nilichoongopaUmekubali kuwa anataka kupewa dege, tofauti na madai yako ya uwongo kuwa rais wa marekani hatakiwi kupokea zawadi toka nje!?
Inaonekana wana kikosi maalum cha kusoma saikolojia ya viongozi wa dunia kama Trump. Hii ni sehemu muhimu sana ya intelligence katika international economic espionage.Air Force One kabla haijatua Qatar, ilisindikizwa na F-15 za Qatar.
Walipotua, msafara wa magari uliongozwa na Cybertrucks nyekundu.
Ongezea na askari waliopanda ngamia.
Hawa Qatar naona wanamjua vizuri Trump maana hayo ndo mambo anayoyapenda.
Ukiongeza na lile dege wanalotaka kumpa bure, hawa Qatar wana lao jambo.
Hawafanyi haya mambo yote bila kutegemea chochote toka kwa Trump!
View: https://youtu.be/OSgYXH3Ra7g?si=IEwoXt4e3aQiXGuE
Sasa mbona umeandika atapewa dege?Hakuna nilichoongopa we zuzu.
Ndege bado hajapewa na hakuna uhakika kama atapewa.
Rais wa Marekani hapaswi kupokea zawadi kubwa kama hizo. Huu ni ukweli.
Fala mkubwa wewe 🖕🖕.
Oh yeah. The Qataris knew their assignment.Inaonekana wana kikosi maalum cha kusoma saikolojia ya viongozi wa dunia kama Trump. Hii ni sehemu muhinu sana ya intelligence katika international economic espionage.
Wapi nimeandika “atapewa dege” ?Hii post uliandikiwa kiasi hujui content?!
Air Force One kabla haijatua Qatar, ilisindikizwa na F-15 za Qatar.
Walipotua, msafara wa magari uliongozwa na Cybertrucks nyekundu.
Ongezea na askari waliopanda ngamia.
Hawa Qatar naona wanamjua vizuri Trump maana hayo ndo mambo anayoyapenda.
Dege siyo!?Ukiongeza na lile dege wanalotaka kumpa bure, hawa Qatar wana lao jambo.
Hawafanyi haya mambo yote bila kutegemea chochote toka kwa Trump!
View: https://youtu.be/OSgYXH3Ra7g?si=IEwoXt4e3aQiXGuE
Hata kusoma na kuelewa hujui! Unanipotezea muda wangu tu wewe. FOH.Dege siyo!?
Umepaona!?Wapi nimeandika “atapewa dege” ?
Onyesha nilivyoandika hivyo.
🤪🤪🤪 Kama maisha magumu huko ughaibuni,rudi nyumbani,utadataHata kusoma na kuelewa hujui! Unanipotezea muda wangu tu wewe. FOH.
Na huyo mzee anavyopenda sifa, hii heshima waliyompa itafanya hata mijadala itakayofanyika iwe na afya kwa pande zote😅😅😅.Air Force One kabla haijatua Qatar, ilisindikizwa na F-15 za Qatar.
Walipotua, msafara wa magari uliongozwa na Cybertrucks nyekundu.
Ongezea na askari waliopanda ngamia.
Hawa Qatar naona wanamjua vizuri Trump maana hayo ndo mambo anayoyapenda.
Ukiongeza na lile dege wanalotaka kumpa bure, hawa Qatar wana lao jambo.
Hawafanyi haya mambo yote bila kutegemea chochote toka kwa Trump!
View: https://youtu.be/OSgYXH3Ra7g?si=IEwoXt4e3aQiXGuE
Wakiongeza na kufadhili wagombea marekani,mbona israel anabwagwa chapuNa huyo mzee anavyopenda sifa, hii heshima waliyompa itafanya hata mijadala itakayofanyika iwe na afya kwa pande zote😅😅😅.
Sema jamaa wako vizuri maana kwa hali ya namna hiyo hata wakiwa na jambo lao wanahitaji inakua rahisi kufikiriwa mara mbili mbili.
Wamefanya homework yao vizuri sana.Na huyo mzee anavyopenda sifa, hii heshima waliyompa itafanya hata mijadala itakayofanyika iwe na afya kwa pande zote😅😅😅.
Sema jamaa wako vizuri maana kwa hali ya namna hiyo hata wakiwa na jambo lao wanahitaji inakua rahisi kufikiriwa mara mbili mbili.
ukitaka kuona matumizi ya pesa hapa duniani ni sehemu mbili tu unaweza kuona,Ngoja wamuonyeshe matumizi ya pesa sasa maana hawa fahari wanaijua na wanaiweza