Haita tokea mkuu mfumo wa nafasi hiyo haupo karibu kabisa rejea mfumo wa kibashite msema kweli ni mpenzi wa mungu!!Fuatilia ziara zote Trump kuanzia ile ya Saudia, Poland, South Korea, Japan na China. Kote huko anapata madili tu
•Saudia -Silaha dola bilioni 350 kwa ujumla
•Poland - Gesi
•South Korea - Silaha
•Japan -Silaha
•China -Biashara kama hvyo ndege, uchimbaji gas, nk
Naomba siku na Tanzania tupate Rais mfanyabiashara kama Trump
Hakuna denomination ya zillion... Quadrillion au kifupi Drillion (dn)Sawa na Sh Ziliyoni 2.2
hahahahahaha jamaa kiboko huyu anatakiwa kupewa nyumba zake alishinda mnada kwa tsh mia900!!Ila me nadhani elfu saba itapendeza zaidi
sijuwi alitumia lugha gani waka mshitukia jamaa walimpa kwanza chakula huku akiwapigia story za urusi na jinsi ya kuendesha viwanda 30 ya chemical na vyakula adi mama wa yono akaomba kazi kwenye kiwanda kimoja kama supervisor!![emoji23] [emoji23] [emoji23] labda mia tisa ya vita vya kwanza vya dunia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nawaonea huruma wale wapepeajisijuwi alitumia lugha gani waka mshitukia jamaa walimpa kwanza chakula huku akiwapigia story za urusi na jinsi ya kuendesha viwanda 30 ya chemical na vyakula adi mama wa yono akaomba kazi kwenye kiwanda kimoja kama supervisor!!
mkuu wazee wa yanga na wazee wa kahawa unawajuwa !!?Nadhani ni muda sasa umefika kwenye katiba mpya kiwepo kipengele cha mgombea binafsi
hahahaha umeona kwenye kupepea tu mzee kapigwa massages ya nguvu wakisubiri transactions zifanyike kutoka kwa mzee Putin!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nawaonea huruma wale wapepeaji
Hao ndio shidah kubwa kuliko zote tuna safari ndefu sana sana mkuu !![emoji23] [emoji23] [emoji23] unawazungumzia wale wazalendo maandazi
Kwa Mbekianeno hayo machafu "sisi" wewe haupo!. Je wewe umefanyia nini Tanzania?Alafu sisi tunanunua Bombadia nne tunapigaje kelele sasa!
haiwezekaniZidisha kwa 2248
haiwezekaniZidisha kwa 2248
Ubaya ujuwe ulikuwa wapi jamaa alikuwa anapiga simu anaongea kirusi sasa akimaliza ana wambia bado wamelala ila ameongea na General manager asubuhi ya kesho kutwa wataiona kwenye account yao akawapa website wakamuona jina lake na kampuni huko urusi !!!Hahahahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fundi punguza uchochezi[emoji38]Ubaya ujuwe ulikuwa wapi jamaa alikuwa anapiga simu anaongea kirusi sasa akimaliza ana wambia bado wamelala ila ameongea na General manager asubuhi ya kesho kutwa wataiona kwenye account yao akawapa website wakamuona jina lake na kampuni huko urusi !!!
Tsh. Zillion 5$1.1 Trillion ni sawa na Tshs ngapi?