Ziara ya Shaka Misenyi na Bukoba mjini yafana

Naitamani sana ccm hii..sitaki tena kusikia huu upuuzi unaitwa upinzani..t hakuna upinzani wa kuwalete maendeleo wananchi zaidi ya kujinufaisha wanasiasa na familia zao.
C
Ccm hawajinufaishi na familia zao? Muogope na Mungu.
 
Lini mkawa na Elimu nyie...sema mna makaratasi mengi ila kichwani noop
Makamu mkuu wa chuo kikuu (UDSM) kinachoheshimika sana TZ na duniani kote anaitwa Prof Mukandala kutoka Kagera, Misenye, Kiziba, Kanyigo, Bugombe Lukwenge. Ikumbukwe kuwa amekosekana mtu wa namna hiyo hivyo kuombwa aendelee kusimamia chuo hicho baada ya kumaliza muda wake!!!!!! Wapo wengi hiyo ni DIBAJI.
 
Hivi huko serious au unafanya utani mkuu?Kwani yeye niwa kwanza kuongoza kachuo kenu hako. ....mpaka leo hakuna Mhaya aliwai ata kuchukua fomu ya kugombea urais kwasababu mnapenda kutumiwa tu aaah maofisini eti ni kweli?
 
we are more oriented in academics than politics mkuu.
Mara nyingi failures ndiyo wanakimbilia siasa kupata mteremko wa maisha. Angalia viongozi wako wa kisiasa walivyo. Eti kwa mfano X form VI with FFFFFFF div 0000 kuwa mkuu wa mkoa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Oriented in which academic? Ndiyo maana nikasema nyie mnamiliki makaratasi lakini hamna kitu kabisa...mkoa wenu nakua na wetu wenye vyeti lkn ni moja ya mikoa maskini sana hapa Tanzania
 
Sioni umaskini wa Kagera hasa wa wahaya, ebu fafanua kidogo mkuu!!!!!
 
Katibu wa UVCCM anapokewa na kupewa maelezo kama waziri duuuuh.... kumbe viongozi wa serikali wako chini ya viongozi wa chama ooooho ngoja
 
Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka Mapema ya leo Ameikamilisha Ziara yake ya Kikazi katika Wilaya ya Misenyi na Bukoba Mjini yenye dhamira ya Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-2020 na Kuimarisha Uhai Wa Chama na Jumuiya Mkoani kagera.

Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka Alipo tembezwa na Mkuu wa Wilaya ya Kyelwa Kuona Athari zilizo tokana na Mvua ya Mawe Zilizo Wakumba Wananchi wa kijiji Kangenyi Kata ya Kieluwa Wilayani Kyelwa

Mhandisi wa maji wilaya Misenyi ABdallah Gendaheka wa tatu kutoka kushoto akitoa maelezo mbele ya kaimu katibu mkuu wa UVCCM na msafara wake walipoutembelea mradi huo wa maji ambao kati ya vituo 15 ni vituo vi8tu vinavyotoa na saba kwa mwaka mmoja na miezi miwili sasa vimeharibika.

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akipata maelezo toka kwa Afisa Mfawidhi wa Mpaka wa Mutukula Bw.Samwel Mori wilayani Misenyi Mkoani Kagera alipotembelea katika mpaka huo kuangalia shughuli za kihuduma katika mpaka huo.

Mapokezi ya Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka alipo Wasili Bukoba Mjini

Watendaji na wakuu wa Idara katika Halmashauri ya Manispa ya mji wa Bukoba wakimsikiliza Ndg:Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka alipotembelea Manispaa hiyo

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndg:Yahya kateme wa tatu toka kushoto alipoingia na mgeni wake Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka wa pili kushoto katika kiwanda cha uzalishaji maji safi Bunena Spring Water katika manispaa ya mji wa bukoba wa nne kulia ni mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya bukoba mjini Ashraf kazinja

Katibu wa UVCCM Mkoa wa Kagera Dismas Zimbihire wa kwanza kulia akiongoza msafara na kumfikisha Kaimu katibu mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka katika eneo la uzakishaji Maji na ufungaji wa chupa katika kiwanda cha Bunena Spring Water kilichopo katika manispaa ya mji wa bukoba.

Makundi ya Vijana wajasiriamali wakiwemo Mamalishe,bodaboda,na machinga walipompokea kwa shangwe na hoihoi Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka alipokwenda kuwatembelea katika soko la machinjioni kwenye manispaa ya mji wa bukoba.

Kaimu katibu wa Idara ya Hamasa,Sera,Utafiti na Mawasiliana UVCCM Mtemi Slyvester yaredi akizungumza na makundi ya wajasiriamali katika manispaa ya mji wa bukoba kabla ya kumkaribisha Kaimu katibu mkuu UVCCM

''Nimefarijika saana na ziara ya mkoa wa Kagera,nimefurahi kuwakuta viongozi wa chama,Serikali kuu na Halmashauri za wilaya wakifanya kazi bega kwa bega kwa lengo la kuhudumia wananchi na kutekeleza matakwa ya sera za CCM zilizoainishwa katika ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020''Shaka alimueleza mkuu wa mkoa wa Kagera Meja jenerali Salum kijuu alipomtembelea ofisini kwake

''Nimekua nikifuatilia ziara zenu kwa karibu sana,nimeridhika na uibuwaji wenu wa maswala yenye manfaa,kuzindua miradi ya kimaendeleo lakini pia kuzungumza na wanachama wenu katika vikao vya ndani vya kisiasa.Changamoto mlizoziona serikali itaendelea kuzifanyia kazi na kupata utatuzi,tutasiliba na kuziba mianyayote inayopitisha wahamiaji haramu na kukomesha vitendo vya uhalifu,hatutashindwa kwa jambo lolote''Meja jenerali Kijuu alimueleza kaimu katibu mkuu UVCCM
Nikadhan kipindi cha Sikukuu angekuwa Nyimbani kwake Mombasa
 
we are more oriented in academics than politics mkuu.
Mara nyingi failures ndiyo wanakimbilia siasa kupata mteremko wa maisha. Angalia viongozi wako wa kisiasa walivyo. Eti kwa mfano X form VI with FFFFFFF div 0000 kuwa mkuu wa mkoa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Yule mwenye batalioni ya minyoo tumboni kwake?
 
we are more oriented in academics than politics mkuu.
Mara nyingi failures ndiyo wanakimbilia siasa kupata mteremko wa maisha. Angalia viongozi wako wa kisiasa walivyo. Eti kwa mfano X form VI with FFFFFFF div 0000 kuwa mkuu wa mkoa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ila ndio wanaokutawala...
 
Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka Mapema ya leo Ameikamilisha Ziara yake ya Kikazi katika Wilaya ya Misenyi na Bukoba Mjini yenye dhamira ya Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-2020 na Kuimarisha Uhai Wa Chama na Jumuiya Mkoani kagera.

Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka Alipo tembezwa na Mkuu wa Wilaya ya Kyelwa Kuona Athari zilizo tokana na Mvua ya Mawe Zilizo Wakumba Wananchi wa kijiji Kangenyi Kata ya Kieluwa Wilayani Kyelwa

Mhandisi wa maji wilaya Misenyi ABdallah Gendaheka wa tatu kutoka kushoto akitoa maelezo mbele ya kaimu katibu mkuu wa UVCCM na msafara wake walipoutembelea mradi huo wa maji ambao kati ya vituo 15 ni vituo vi8tu vinavyotoa na saba kwa mwaka mmoja na miezi miwili sasa vimeharibika.

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akipata maelezo toka kwa Afisa Mfawidhi wa Mpaka wa Mutukula Bw.Samwel Mori wilayani Misenyi Mkoani Kagera alipotembelea katika mpaka huo kuangalia shughuli za kihuduma katika mpaka huo.

Mapokezi ya Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka alipo Wasili Bukoba Mjini

Watendaji na wakuu wa Idara katika Halmashauri ya Manispa ya mji wa Bukoba wakimsikiliza Ndg:Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka alipotembelea Manispaa hiyo

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndg:Yahya kateme wa tatu toka kushoto alipoingia na mgeni wake Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka wa pili kushoto katika kiwanda cha uzalishaji maji safi Bunena Spring Water katika manispaa ya mji wa bukoba wa nne kulia ni mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya bukoba mjini Ashraf kazinja

Katibu wa UVCCM Mkoa wa Kagera Dismas Zimbihire wa kwanza kulia akiongoza msafara na kumfikisha Kaimu katibu mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka katika eneo la uzakishaji Maji na ufungaji wa chupa katika kiwanda cha Bunena Spring Water kilichopo katika manispaa ya mji wa bukoba.

Makundi ya Vijana wajasiriamali wakiwemo Mamalishe,bodaboda,na machinga walipompokea kwa shangwe na hoihoi Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka alipokwenda kuwatembelea katika soko la machinjioni kwenye manispaa ya mji wa bukoba.

Kaimu katibu wa Idara ya Hamasa,Sera,Utafiti na Mawasiliana UVCCM Mtemi Slyvester yaredi akizungumza na makundi ya wajasiriamali katika manispaa ya mji wa bukoba kabla ya kumkaribisha Kaimu katibu mkuu UVCCM

''Nimefarijika saana na ziara ya mkoa wa Kagera,nimefurahi kuwakuta viongozi wa chama,Serikali kuu na Halmashauri za wilaya wakifanya kazi bega kwa bega kwa lengo la kuhudumia wananchi na kutekeleza matakwa ya sera za CCM zilizoainishwa katika ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020''Shaka alimueleza mkuu wa mkoa wa Kagera Meja jenerali Salum kijuu alipomtembelea ofisini kwake

''Nimekua nikifuatilia ziara zenu kwa karibu sana,nimeridhika na uibuwaji wenu wa maswala yenye manfaa,kuzindua miradi ya kimaendeleo lakini pia kuzungumza na wanachama wenu katika vikao vya ndani vya kisiasa.Changamoto mlizoziona serikali itaendelea kuzifanyia kazi na kupata utatuzi,tutasiliba na kuziba mianyayote inayopitisha wahamiaji haramu na kukomesha vitendo vya uhalifu,hatutashindwa kwa jambo lolote''Meja jenerali Kijuu alimueleza kaimu katibu mkuu UVCCM
Kesho ukija utasema wachagga Leo umekiri njia ya mwongo
Hivi BAVICHA wapo wapi!?? Au wote wameenda kwenye uchaguzi wa msigwa na sosopi!?

Makamu mkuu wa chuo kikuu (UDSM) kinachoheshimika sana TZ na duniani kote anaitwa Prof Mukandala kutoka Kagera, Misenye, Kiziba, Kanyigo, Bugombe Lukwenge. Ikumbukwe kuwa amekosekana mtu wa namna hiyo hivyo kuombwa aendelee kusimamia chuo hicho baada ya kumaliza muda wake!!!!!! Wapo wengi hiyo ni DIBAJI.
 
Du, CCM kiboko yaani mtu bila aibu umekula rambirambi zake halafu unaenda kumcheka pasipo kufanya chochote. Hakika Mungu anawaona
 
Back
Top Bottom