Mazee usiogope.
Umati ulikuwa tele na kwa kweli nimeletewa picha nyingi ila siwezi kuziweka zote hapa. Net yangu iko slow kidogo. Lakini huu ulikuwa muonjo tu kukupa hamu ya kula kama wafanyavyo katika hotel kubwa kubwa kwa kukupa supu kwanza.
Mambo ya propaganda huwa ni ya sisi m nahakika chadema wanahitaji kuwa wakweli zaidi ya propaganda tu.
Ila picha zipo unaweza kuwasiliana nao wenyewe nina hakika watakuwa nazo. Huyu aliyepiga ni freelancer na hana uhusiano nao kabisa.