expirience man
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 212
- 94
======
Maalim Seif: Mambo yetu mengi yamekuwa yakienda polepole kwa sababu ya kukosekana miradi ambayo ndiyo kiungo muhimu, tunakiamini chama, lazima aje mtu ambae ni muanminifu na mtiifu kwa chama. Huwezi kulinda maslahi ya chama, maamuzi ya vikao vya chini kuanzia kitaifa, wilaya na majimbo. Lazima uweze kuona wewe ni mtiifu na mtekelezaji, mratibu ni mtu ambae lazima awe na mahusiano mazuri na jamii hasa inayomzunguka.