π—­π—œπ—”π—₯𝗔 𝗬𝗔 π—žπ—œπ—žπ—”π—­π—œ π— π—žπ—’π—” π—ͺ𝗔 𝗠𝗔π—₯𝗔

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
546
Reaction score
377
π—­π—œπ—”π—₯𝗔 𝗬𝗔 π—žπ—œπ—žπ—”π—­π—œ π— π—žπ—’π—” π—ͺ𝗔 𝗠𝗔π—₯𝗔

Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

πŸ“† 2 Oktoba, 2026.
πŸ•°οΈ 08:00 Mchana.

Lengo:
β–ͺ️Kuzungumza na Wananchi kwenye mkutano wa hadhara unaofanyika Mwibara katika eneo la Kibara.
 
Attachments

  • IMG-20261002-WA0044.jpg
    IMG-20261002-WA0044.jpg
    407.1 KB · Views: 1
π—­π—œπ—”π—₯𝗔 𝗬𝗔 π—žπ—œπ—žπ—”π—­π—œ π— π—žπ—’π—” π—ͺ𝗔 𝗠𝗔π—₯𝗔

Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

πŸ“† 2 Oktoba, 2026.
πŸ•°οΈ 08:00 Mchana.

Lengo:
β–ͺ️Kuzungumza na Wananchi kwenye mkutano wa hadhara unaofanyika Mwibara katika eneo la Kibara.
kila la kheri baba,
chapa kazi za wananchi ipasavyo, inapendeza sana aise πŸ’ͺ
 
Hivi mwamba atajiteteaje hivi, atasema ni eiaii au atasema ni juhudi za mabeberu na wazungu kutuharibia na kuingilia mambo yetu ya ndani
 
Hivi mwamba atajiteteaje hivi, atasema ni ai au atasema ni juhudi za mabeberu na wazungu kutuharibia na kuingilia mambo yetu ya ndani
Anaweza kukaa kimya tu kana kwamba hakuna lililotokea. Maana akifungua mdomo tu anaweza kufanya Jambo lizidi kuwa kubwa.
 
π—­π—œπ—”π—₯𝗔 𝗬𝗔 π—žπ—œπ—žπ—”π—­π—œ π— π—žπ—’π—” π—ͺ𝗔 𝗠𝗔π—₯𝗔

Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

πŸ“† 2 Oktoba, 2026.
πŸ•°οΈ 08:00 Mchana.

Lengo:
β–ͺ️Kuzungumza na Wananchi kwenye mkutano wa hadhara unaofanyika Mwibara katika eneo la Kibara.
Ataifilisi nchi kwa ziara zisizo na tija, waziri mkuu si dereva wa masafa marefu ambsye kila siku analipwa posho ya safari.
 
Back
Top Bottom