Ziara ya CHADEMA huko Ulaya yashika kasi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,308
Reaction score
271,633
Pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwaeleza Viongozi na wabunge wa CDU kuhusu hali ya kisiasa ilivyo nchini Tanzania , kikao hiki kimefanyika ndani ya ofisi za bunge la Ujerumani .

FB_IMG_1669455497802.jpg
FB_IMG_1669455504391.jpg
FB_IMG_1669455514535.jpg

Vigogo wa Chadema walio kwenye ziara hiyo itakayowapeleka nchi kadhaa barani humo , ni pamoja na Katibu Mkuu , John Mnyika , Naibu Katibu Mkuu Salum Mwalimu , Zeud Mvano ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu na John Pambalu ambaye ni Kiongozi wa Bavicha .
 
Pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwaeleza Viongozi na wabunge wa CDU kuhusu hali ya kisiasa ilivyo nchini Tanzania , kikao hiki kimefanyika ndani ya ofisi za bunge la Ujerumani .
Ambayo ipo vipi kwa Mujibu wao ?
 
Safi kuona kuwa chama cha CDU Germany kina mwanasiasa mwenye asili ya Tanzania mheshimiwa Joseph Chialo.
1669465201759.png

Picha : Mwanasiasa wa Ujerumani kupitia chama cha CDU mheshimiwa Joseph Chialo. CDU-Vorstandsmitglied Joe Chialo: „Wir müssen raus aus diesem Mimimi-Modus“
1669465729788.png

CDU kinaamini katika siasa za usawa na haki hivyo kitaweza kushawishi matokeo chanya yatokee Tanzania kupitia kuunga mkono agenda za CHADEMA.

Na kazi ya chama chochote cha siasa ni kushawishi agenda na sera kwa hoja, CHADEMA inafanya kazi hiyo vyema kuliko vyama vingine vya siasa na kukipita chama dola kikongwe kilichokosa mvuto kwa kunukuu maneno ya mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Alhaj Adam Kimbisa kuwa CCM imechoka na kukosa mvuto wa ushawishi
 
Safi kuona kuwa chama cha CDU Germany kina mwanasiasa mwenye asili ya Tanzania mheshimiwa Joseph Chialo.
View attachment 2428012
Picha : Mwanasiasa wa Ujerumani kupitia chama cha CDU mheshimiwa Joseph Chialo.

CDU kinaamini katika siasa za usawa na haki hivyo kitaweza kushawishi matokeo chanya yatokee Tanzania kupitia kuunga mkono agenda za CHADEMA.

Na kazi ya chama chochote cha siasa ni kushawishi agenda na sera kwa hoja, CHADEMA inafanya kazi hiyo vyema kuliko vyama vingine vya siasa na kukipita chama dola kikongwe kilichokosa mvuto kwa kunukuu maneno ya mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Alhaj Adam Kimbisa kuwa CCM imechoka na kukosa mvuto wa ushawishi
umemaliza kila kitu
 
Pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwaeleza Viongozi na wabunge wa CDU kuhusu hali ya kisiasa ilivyo nchini Tanzania , kikao hiki kimefanyika ndani ya ofisi za bunge la Ujerumani .

View attachment 2427904View attachment 2427905View attachment 2427906

Vigogo wa Chadema walio kwenye ziara hiyo itakayowapeleka nchi kadhaa barani humo , ni pamoja na Katibu Mkuu , John Mnyika , Naibu Katibu Mkuu Salum Mwalimu , Zeud Mvano ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu na John Pambalu ambaye ni Kiongozi wa Bavicha .
Haya ndio mambo sasa unayopaswa kutuletea na sio petty issues za kutaka kijana maskini Majaliwa apokwe zawadi na nafasi ya jeshi alivyotunukiwa.
 
Pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwaeleza Viongozi na wabunge wa CDU kuhusu hali ya kisiasa ilivyo nchini Tanzania , kikao hiki kimefanyika ndani ya ofisi za bunge la Ujerumani .

View attachment 2427904View attachment 2427905View attachment 2427906

Vigogo wa Chadema walio kwenye ziara hiyo itakayowapeleka nchi kadhaa barani humo , ni pamoja na Katibu Mkuu , John Mnyika , Naibu Katibu Mkuu Salum Mwalimu , Zeud Mvano ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu na John Pambalu ambaye ni Kiongozi wa Bavicha .
Wako kwa mabwana zao
 
Ok eti Dakitari msukuma anasema yeye siyo chawa.

Hongereni Sana mapambano yanaendelea. Ila huko nyumbani tunasikia makelele. Hao vijana wameshaanza kugombana mama yao sijui katoka?
 
Back
Top Bottom