Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,707
- 272,604
- Thread starter
- #21
Una akili duni sanaWako kwa mabwana zao
Una akili duni sanaWako kwa mabwana zao
una maana gani ?Wanatembeza homa juani sio
pigo jingine kwa mapunga ya ccm yaliyomo humu jf na kwinginekoUnaenda ulaya kukutana na wauza magazeti
mashoga mliozoea kupigwa ndo mlivyo.Wako kwa mabwana zao
nondo atachukuliwa na msaliti zitoSiku nyingine mumchukue na Abdul Nondo safarini
Wako kwa mabwana zao
Akijibu nistueMama Samia akienda huko huwa anaenda kwa bwana wa nani?
unagongwaWako kwa mabwana zao
Laana ya unafiki na imwandame siku zote huyo jamaa. Baada ya uchaguzi alituhamisha kuingia barabarani kumbe yeye familia yake iko marekani.Kila la kheri hii ni Nchi yetu sote.
Mbona wamekaa kienyeji! Hawajakaa kidiplomasia!Pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwaeleza Viongozi na wabunge wa CDU kuhusu hali ya kisiasa ilivyo nchini Tanzania , kikao hiki kimefanyika ndani ya ofisi za bunge la Ujerumani .
View attachment 2427904View attachment 2427905View attachment 2427906
Vigogo wa Chadema walio kwenye ziara hiyo itakayowapeleka nchi kadhaa barani humo , ni pamoja na Katibu Mkuu , John Mnyika , Naibu Katibu Mkuu Salum Mwalimu , Zeud Mvano ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu na John Pambalu ambaye ni Kiongozi wa Bavicha .
"Pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwaeleza Viongozi na wabunge wa CDU kuhusu hali ya kisiasa ilivyo nchini Tanzania , kikao hiki kimefanyika ndani ya ofisi za bunge la Ujerumani"Pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwaeleza Viongozi na wabunge wa CDU kuhusu hali ya kisiasa ilivyo nchini Tanzania , kikao hiki kimefanyika ndani ya ofisi za bunge la Ujerumani .
View attachment 2427904View attachment 2427905View attachment 2427906
Vigogo wa Chadema walio kwenye ziara hiyo itakayowapeleka nchi kadhaa barani humo , ni pamoja na Katibu Mkuu , John Mnyika , Naibu Katibu Mkuu Salum Mwalimu , Zeud Mvano ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu na John Pambalu ambaye ni Kiongozi wa Bavicha .

Kwamba Salum naye ni mkristo ?"Pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwaeleza Viongozi na wabunge wa CDU kuhusu hali ya kisiasa ilivyo nchini Tanzania , kikao hiki kimefanyika ndani ya ofisi za bunge la Ujerumani"
Kwa hiyo Nukuu hapo juu!
Ebu tuulizane maswali kuntu hapa!
Kwa hiyo chama cha
"Christian Democratic Union" cha Ujerumani ndio kina amua siasa "Chadema" ya Tanzania?
Je!
Chadema mnaenda kushauriana na wazungu jinsi ya kuja kufanya siasa Tanzania?
Ni nani atajua malengo rasmi ya hao wazungu,kuisapoti Chadema na ili iweje baada ya Chadema kuchukua Dola?
Je!
Kuna siku Mzungu alikwisha fanya kazi ya Bure kwa Muafrika?
"Chadema"mkiambiwa mnatumiwa na Mabeberu mtabisha?
Je!
Chadema mmeishiwa Sera na Hoja mpaka mmerudi Darasani mkagundishwe Upya?
Kumbe Lissu kukaa kote nje ya nchi ni kuhudhuria Mafunzo ya Umama-mluki!
Kuna masharti gani nyuma ya huo msaada wa wajerumani,maana tunawajua kuwa ni mabingwa wa "LBGT"
Hata majuzi ndege ya Ujerumani "LUFTHANSA" iliyokuwa imebeba timu yao ya Taifa ilizuiwa kutua Qatar.
Sababu ilikuwa imechorwa alama za ushoga.
Mpaka walipotua nchi ingine na kubadilishiwa ndege isiyo na alama za kishoga.
Mambo Mengine Bora Muwe Mnafanya Kimyakimya Kuliko Kuja kujiaibisha huku JF
Toba!
View attachment 2428555
V
Wanapeleka matatizo kwenye matatizouna maana gani ?
Ulaya kuna matatizo gani ?Wanapeleka matatizo kwenye matatizo