Ziara Viongozi wa CCM yakosa mvuto

Ziara Viongozi wa CCM yakosa mvuto

Wapinzani wa nchi hii kama wanasimba tu. Badala washughulike na ya kwao wao wako bize na CCM.

Infact hazina mvuto kabisa
 
Ujinga wenu watz mmejengewa uwezo wa kuamini mtu badala ya mifumo
 
Wajamvi,
Mpaka sasa Viongozi wa CCM wana ziara mikoani Kwa Viki nzima Sasa. Lakini kinachoonekana ziara hii imekosa mvuto na haina utuatiliwaji wa kina na haina mvuto.
Mr RoundAbout,

Habari za asubuhi.

Ziara za Makonda zilihusisha taasisi zote za umma,kwa maana ya magari na watumishi.

Nilishuhudia mwenyewe hapa Arusha magari ya wakurugenzi wa Wilaya zote Monduli,Longido,Karatu ,Arusha DC na Wilaya za mikoa jirani kama Kilimanjaro na Manyara.

Wakuu wa mashirika yote ya umma NHC,TANAPA,NCAA,AICC,TANESCO,AUWSA, KADCO,TFS,TAWA,TANROAD,TARURA,IAA,Nelson Mandela University,CARMATEC,VETA......Hawa wote walitoa magari,fedha na watumishi.

Ukiwa ni mtu makini utabaini kote alikopita
Makonda hata kama wananchi wa sehemu husika wangegoma kuhudhuria mikutano yako bado angepata nyomi la kutosha kwasababu taasisi moja inaweza kama Tanapa ilikuwa inatoa magari 10 mpaka 20 na watumishi wa vitengo mbali mbali kama 100 hivi.Ukijumlisha taasisi zote hakosi nyomi la watu 15,000 ukiweka na makauzu kama elfu 5,000 nyomi lazima litokee la kutosha.

Fuatilia ajili ya msafara wake huko kusini ni magari mangapi yalipata ajali ?.Ni fedha kiasi gani alikusanya huyu mtoto pendwa !.

Ziara za Makonda zililenga zaidi kumjenga yeye na poromosha taasisi zote za umma ikiwemo Mahakama.

Ziara za viongozi wa sasa zinakijenga zaidi chama na si mtu.
 
Mvuto mkuu ninao ujua ni wa ku solve tatizo la ajira nchini, Sera za ufanyaji wa biashara hasa Kodi nyingi. Unataka nivuti ya maigizo jukwaani? kuwaita vingozi wafanye maigizo majikwaani? Taifa limejaaa wajinga sana hili Mungu saidia
 
Wajamvi,
Mpaka sasa Viongozi wa CCM wana ziara mikoani Kwa Viki nzima Sasa. Lakini kinachoonekana ziara hii imekosa mvuto na haina utuatiliwaji wa kina na haina mvuto.
Unamaanisha viongozi hawana mvuto? Mvuto upi? Wa matako kama haya?
Screenshot_20240415_144237_Google.jpg
 
Mr RoundAbout,

Habari za asubuhi.

Ziara za Makonda zilihusisha taasisi zote za umma,kwa maana ya magari na watumishi.

Nilishuhudia mwenyewe hapa Arusha magari ya wakurugenzi wa Wilaya zote Monduli,Longido,Karatu ,Arusha DC na Wilaya za mikoa jirani kama Kilimanjaro na Manyara.

Wakuu wa mashirika yote ya umma NHC,TANAPA,NCAA,AICC,TANESCO,AUWSA, KADCO,TFS,TAWA,TANROAD,TARURA,IAA,Nelson Mandela University,CARMATEC,VETA......Hawa wote walitoa magari,fedha na watumishi.

Ukiwa ni mtu makini utabaini kote alikopita
Makonda hata kama wananchi wa sehemu husika wangegoma kuhudhuria mikutano yako bado angepata nyomi la kutosha kwasababu taasisi moja inaweza kama Tanapa ilikuwa inatoa magari 10 mpaka 20 na watumishi wa vitengo mbali mbali kama 100 hivi.Ukijumlisha taasisi zote hakosi nyomi la watu 15,000 ukiweka na makauzu kama elfu 5,000 nyomi lazima litokee la kutosha.

Fuatilia ajili ya msafara wake huko kusini ni magari mangapi yalipata ajali ?.Ni fedha kiasi gani alikusanya huyu mtoto pendwa !.

Ziara za Makonda zililenga zaidi kumjenga yeye na poromosha taasisi zote za umma ikiwemo Mahakama.

Ziara za viongozi wa sasa zinakijenga zaidi chama na si mtu.
Nipe ripoti baada ya viongozi wote wa umma kukutana na Makonda, ni nini mumekipata baada ya ziara hiyo?

Mimi ni mkazi wa jimbo hili la Kawe. Leo ni mwezi wa 4 toka ZEROBRAIN atoe hii ahadi hewa ya makatapila. Kinachoendelea ni kwamba Bishop Gwajima alipokea makatapila hewa. Aliyeona haya makatapila atuambie yako wapi na sisi tukayaone
 
Back
Top Bottom