Zero bwana!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Ziro katumiwa barua ya kimapenzi na mpenzi wake.Kwa sababu ziro hajui kusoma,aliomba msaada kwa rafiki yake amsomee kwa sauti ili apate ujumbe uliomo baruani.Ili kumdhibiti jamaa asisikie ujumbe uliomo baruani,ZIRO alimziba jamaa masikio akiamini ile sauti anaisikia yeye tu!
 
Haa ha ha ha haaaaaa umetisha jombaa mi hoi taaban mbavu sina.
 
TINA;Ziro,uchumi wetu umekua sana. ZIRO;Afadhali tuache kununua nepi!
 
ukitaka kujua umuhimu wa 0 ifute kwenye 1,000,000/=
 
Tuliisoma shule ya Msingi ila ahsante kwa kutukumbusha
 
Ziro Jinga kweli!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…