Zenji Seif nyota njema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zenji Seif nyota njema

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Fidel80, Nov 1, 2010.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wazanzibari anzeni kusherehekea ushindi wa M.Seif: M.Seif apata 50.06%
  Dr.Shein:47.30
  Asalamu alaykum haya ndio matokeo tulioyapata kutoka kwa tume ya uchaguzi:
  JIMBO KUTOKA PEMBA
  JIMBO LA OLE: CUF- 5775, CCM -893
  JIMBO LA WETE: CUF-6317, CCM-1189
  JIMBO LA GANDO: CUF-5239, CCM-884
  JIMBO LA MTAMBWE: CUF 5415, CCM-307
  JIMBO LA KOJANI: CUF-6262, CCM-562
  MAJIMBO YA UNGUJA
  JIMBO LA FUONI: CCM-6351, CUF-2797
  JIMBO LA MTONI: CCM-3746,CUF-4852
  JIMBO LA DIMANI:CCM 6225,CUF-4898
  JIMBO LA KIEMBE SAMAKI:CCM2794,CUF-1141
  JIMBO LA KWEREKWE: CCM-4338,CUF-2812
  JIMBO LA BUBUBU: CCM-4458,CUF-4119
  JIMBO LA MFENESINI: CCM-3755,CUF-2246
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Namtafuta mtani Kibunango hapatikani
   
 3. T

  The King JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thithiem wanaweza kabisa kuyagomea matokeo haya kama ambavyo wameanza kuyagomea matokeo mbali mbali ya wabunge bara.
   
 4. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Majimbo ni 13 na jumla ni 50 hakuna haja kushangilia kwanza tupe ya majimbo yote mkuu.
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  CUF suti wameshona?
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Bado tunaendelea kusubili mkuu lakini Seif anang'aa Pemba kuliko Unguja
   
 7. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kanzu!
   
 8. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Kuna majimbo 50 bado sana hapo!
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nasikia Mwinyi na Mkapa wameshuka uko kuokoa Jahazi
   
 10. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  maarim self alisema washone suti mapemaaa kwa ajili ya kuapishwa!kanzu wataendea msikitini
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  nahisi kishazimia ..:smile:
   
 12. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya matokeo yakibakia hv Maalim ni President of ZINJIBAR
   
 13. T

  Tata JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,731
  Likes Received: 647
  Trophy Points: 280
  Kuchakachua nini? wasije wakafanya mambo aliyoyafanya Mwl. Nyerere mwaka 1995.
   
 14. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Sioni cha ajabu na matokeo ya Maalim Seif Kuwa presida wa Zenj maana tangu mwaka 1995 anashinda halafu thithiem wanachakachua. Kwa nilivyokuwa nafuatilia kampeni Shein hakuwa na mvuto kabisa, kushindwa yawezekana. Si wameshakubali serikali ya umoja, akubali matokeo atakuwa makamu, pengine ndicho cheo chake cha kustaafia Mungu amemtunuku!!! Ha ha ha siasa bwana.
   
 15. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Pemba kuna majimbo 18 na yanayobaki 32 ni unguja kadhalika wapiga kura wa pemba na wa unguja kuna tofauti kinamba sitaki kushangilia kwanza maana ccm wanaweza kuchakachua anytime....
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  sasa wameenda kupiga kampeni wakati matokeo yameshatoka?
   
 17. M

  MZALAMO JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 60
  Safari hii wamuachie tu kama atashinda.
   
 18. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ulimsikia Mkapa jangwani alisemaje??????????????????
   
 19. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Makamu JMT Makamu Zanzibar...bahati au kudra..?
  Bora washinde wapinzani kuliko ccm...
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Safari hii jamani wamwonee huruma maana kunaweza kulipuka kule, busara zichukue mkondo wake
   
Loading...