Elections 2010 Zenji Seif nyota njema

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,949
4,444
Wazanzibari anzeni kusherehekea ushindi wa M.Seif: M.Seif apata 50.06%
Dr.Shein:47.30
Asalamu alaykum haya ndio matokeo tulioyapata kutoka kwa tume ya uchaguzi:
JIMBO KUTOKA PEMBA
JIMBO LA OLE: CUF- 5775, CCM -893
JIMBO LA WETE: CUF-6317, CCM-1189
JIMBO LA GANDO: CUF-5239, CCM-884
JIMBO LA MTAMBWE: CUF 5415, CCM-307
JIMBO LA KOJANI: CUF-6262, CCM-562
MAJIMBO YA UNGUJA
JIMBO LA FUONI: CCM-6351, CUF-2797
JIMBO LA MTONI: CCM-3746,CUF-4852
JIMBO LA DIMANI:CCM 6225,CUF-4898
JIMBO LA KIEMBE SAMAKI:CCM2794,CUF-1141
JIMBO LA KWEREKWE: CCM-4338,CUF-2812
JIMBO LA BUBUBU: CCM-4458,CUF-4119
JIMBO LA MFENESINI: CCM-3755,CUF-2246
 
thithiem wanaweza kabisa kuyagomea matokeo haya kama ambavyo wameanza kuyagomea matokeo mbali mbali ya wabunge bara.
 
Majimbo ni 13 na jumla ni 50 hakuna haja kushangilia kwanza tupe ya majimbo yote mkuu.
 
Wazanzibari anzeni kusherehekea ushindi wa M.Seif: M.Seif apata 50.06%
Dr.Shein:47.30
Asalamu alaykum haya ndio matokeo tulioyapata kutoka kwa tume ya uchaguzi:
JIMBO KUTOKA PEMBA
JIMBO LA OLE: CUF- 5775, CCM -893
JIMBO LA WETE: CUF-6317, CCM-1189
JIMBO LA GANDO: CUF-5239, CCM-884
JIMBO LA MTAMBWE: CUF 5415, CCM-307
JIMBO LA KOJANI: CUF-6262, CCM-562
MAJIMBO YA UNGUJA
JIMBO LA FUONI: CCM-6351, CUF-2797
JIMBO LA MTONI: CCM-3746,CUF-4852
JIMBO LA DIMANI:CCM 6225,CUF-4898
JIMBO LA KIEMBE SAMAKI:CCM2794,CUF-1141
JIMBO LA KWEREKWE: CCM-4338,CUF-2812
JIMBO LA BUBUBU: CCM-4458,CUF-4119
JIMBO LA MFENESINI: CCM-3755,CUF-2246
CUF suti wameshona?
 
Sioni cha ajabu na matokeo ya Maalim Seif Kuwa presida wa Zenj maana tangu mwaka 1995 anashinda halafu thithiem wanachakachua. Kwa nilivyokuwa nafuatilia kampeni Shein hakuwa na mvuto kabisa, kushindwa yawezekana. Si wameshakubali serikali ya umoja, akubali matokeo atakuwa makamu, pengine ndicho cheo chake cha kustaafia Mungu amemtunuku!!! Ha ha ha siasa bwana.
 
Bado tunaendelea kusubili mkuu lakini Seif anang'aa Pemba kuliko Unguja

Pemba kuna majimbo 18 na yanayobaki 32 ni unguja kadhalika wapiga kura wa pemba na wa unguja kuna tofauti kinamba sitaki kushangilia kwanza maana ccm wanaweza kuchakachua anytime....
 
Sioni cha ajabu na matokeo ya Maalim Seif Kuwa presida wa Zenj maana tangu mwaka 1995 anashinda halafu thithiem wanachakachua. Kwa nilivyokuwa nafuatilia kampeni Shein hakuwa na mvuto kabisa, kushindwa yawezekana. Si wameshakubali serikali ya umoja, akubali matokeo atakuwa makamu, pengine ndicho cheo chake cha kustaafia Mungu amemtunuku!!! Ha ha ha siasa bwana.

Ulimsikia Mkapa jangwani alisemaje??????????????????
 
Makamu JMT Makamu Zanzibar...bahati au kudra..?
Bora washinde wapinzani kuliko ccm...
 
Safari hii jamani wamwonee huruma maana kunaweza kulipuka kule, busara zichukue mkondo wake
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom