Zenji electronics and decore

Nipo serious mkuu je utofauti ni upi ukiacha kuwa lg n brand coz nlikuwa nataka kwa ajili ya banda la mpira star x quality ya pic ipoje?na ubora?
Kwa banda la mpira star x inatosha sana, quality ya picture wala hutojutia na hazina shida yyt mbona
 
Ubalipia kidogo pale
Umesema Malipo nitafanya baada a mi kupokea mzigo, vip tena niwe mie ndio naelipia Ushuru? Hapo nitakapokua nikiupokea mzigo ni wapi hapo ambako kunakua ushuru haujalipwa?
 
Umesema Malipo nitafanya baada a mi kupokea mzigo, vip tena niwe mie ndio naelipia Ushuru? Hapo nitakapokua nikiupokea mzigo ni wapi hapo ambako kunakua ushuru haujalipwa?
Labda hujanielewa, nikikuambia utalipa baada ya kupokea mzigo hapo me napiga hesabu zote mpaka nikiwa na maana najumlisha gharama ya tv plus gharama ya kuisafirisha, maana yake kama bei ya tv lg 32" ni 440000 nikiisafirisha mm utalipia 480000
 
Mm nikiweka bei hapa naweka bei ya dukani mtendeni zanzibar, sio kila mteja anataka asafirishiwe, mwengn ana ndugu yake huku anaweza kumuagiza akaja kumchukulia, so ukitaka usafirishiwe ndo ndo tunajumlisha na gharama ya usafiri ambazo ni pamoja na kodi
 
Ukisema unataka kulipia baada ya kupokea hapo lazima bei iwe tofauti na hii nnayoweka mkuu
 
Back
Top Bottom