Zengwe limeanza

Warren.T

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
900
Reaction score
318
Zengwe limeanza!!!
 

Attachments

  • 1440654878019.jpg
    57.4 KB · Views: 731
  • 1440654893396.jpg
    61 KB · Views: 658
  • 1440654906792.jpg
    56.8 KB · Views: 640
  • 1440654919971.jpg
    60.9 KB · Views: 643
  • 1440654930283.jpg
    63.7 KB · Views: 613
dalili za wazi za utawala unaoelekea kuanguka...........!!!!
 
Vita Ni Vita Kuachia Madaraka Ni ngumu ila Wataachia kwa nguvu ya Umma
 
Kiukweli kampein manager wa CCM atakuwa si mzima kichwani yaani kama anamtumia masaburi vile. Anamuharibia magufuli watu watafikiri hiyo order ni ya magufuli. Umaarufu unaongezeka kwa Ukawa.Kura za huruma zitaongezeka sana
 
Acheni Hizo CCM NI WAMOJA KULIKO WAKATI WOTE ALIKUWA ANALETA LETA MTAFARUKU NA KUTUGAWA NI HUYO MGENI WENU SEMA MSEMAVYO CCM NA DR.MAGUFULI USHINDI HUOOO ANARUDISHA CHAMA KATIKA MISINGI ILIYOASISIWA MBADILIKO YAJA "CHANGE IS COMMING"
 
Na kwa jinsi wanavuokata umeme kumkomoa jamaa ndio kwanza wanaaakomoa wafuasi wao wenye stationary wanauza barafu....so nao watachoka tu wataona bora ukawa
 
Wameturahisishia kazi
Nasikia wamelipia tv zote hiyo jumamosi zionyeshe live mkutano wa ccm huko mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…