Zembwela &wenye viti mitaa

baharia Ar

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
837
314
Zaman nilikuwa sipitwi na kipindi cha asubuhi zembwela na bibie. Lakin now sipend kabisaa ilaleo nimejaribu kutwin Est Africa radio nikakutana na upuputena wauoga tena uliozid zaid ya mwanzo. Eti muhuri unakazigan kwa wenyevit wa mtaa!! Yaan unatushawishi tuamin kuwa watendaji mitaa ndio wenyehaki yakukaanayo! Bilakusahau kuwa watendaji mitaa waliteuliwa kutoka mbali naeneo nahawana uchungu wowote nawanamtaa? Hujui kuwa wenyeviti wa mtaa ndio wanao wafahamu raia wao zaid ya watendaji mitaa? Yaan mihuri iondolewe kwa wenyevit mitaa ww nahicho kidadachako kioga mnashangilia. Unakuwaje mkt bila muhuri wakuonyesha mamlaka yako? Redio yenu mmeipunguzia mashabiki kwa kasiyenu yauoga kipindi chenu kimechuja mtaan watu wanawaponda mno fanyen utafit mlipoanza supar mix na mlipo now. Mmevurunda mnatetea uoga mnajaj badala yakuacha mashabiki wachanganue!! Et mnamtafuta mkuu wawilaya nani kawaambia hilosakata likochini ya DC au rc? Yaan walaka ulikuwa unahusu wenyeviti nchi nzima iweje msimtafute wazir husika mpaka mjitoe ufahamu? Mnabebewa akili! Hahaaa kweli uoga nidhambi kuu. Mkt bila muhuri unashabikia? Et sisi tumewachagua hivyo nilazima wapige kazi wasigome kweli! Unawezaje Kulima bila Jembe? Vipi kama wenyeviti wote nchi nzima wakigoma utagombea ww? Haya nanyie tangazen bila vipazasaut na mic ili msisikike tuone kama Kaz mtaifanya. He hamjui haki ya nyenzo mihuri nk Ni Sheria iliyopitishwa bungen? Kwa nn msimshawishi mnaemuogopa kuwa apeleke mswaada bungen ili watendaji ndio wawe wenyevit nawapewe mihuri badala ya utaratibu wa sasa? Zembwe umekuwa mzembe shauri yahicho kidada mburura
 
Nakumbuka shule ya msingi tulikuwa tunasomewa (imla) alafu tunaambiwa "acha nafasi" kisha mwalimu anaendelea kusoma neno linalofuata.Hoja nzuri mkuu ila kukosa spacing kunakwaza kusoma
 
huyu jamaa niliacha kumfuatilia muda, amekuwa ni mtu wa kujipendekeza na kujifanya much know kumbe form four failure
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Wenyeviti wa mtaa ndo uti wa mgongo wa ccm,
yaani wamebugi kwelikweli,maana wanaweza kufanya damage kubwa sana katika ngazi ya mtaani
 
kwenye hili la wenyeviti kutokaa na mihuli, sioni mapungufu yoyote kwa wao kunyang'anywa mihuli, maana kabla ya wao kupewa hii mihuri tulikuwa tunaenda kwa mwenyekiti, anakupa reference letter uende kwa mtendaji, huko utapata barua za vitambulisho na kila kitu.
tatizo lililojitokeza mbalo halijapatiwa ufumbuzi hadi sasa ni wenyeviti kujiingiza kwenye uuzwaji wa ardhi, hali inayopelekea migongano kila siku. Kuna matapeli wengi sana wanashirikiana na hawa wenyeviti, ikumbukwe kuwa most of hawa wenyeviti ni watu wasiokuwa na ujira wowote, hivyo they can easily be manipulated kwa fedha ndogo sana.
Ni bora turudie system ya zamani hadi suluisho la kudumu litavyopatikana.
 
Wenyeviti wa mitaa ni wezi na ndio vyanzo vya migogoro ya ardhi bora walivyonyanganywa mihuri
 
Back
Top Bottom