Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,254
- 34,205
Baada ya kaunta ofensivu ichwara kufeli vibaya mno sasa zelensky kamgeukia mkuu wa majeshi!
Inasemekana Zalusni alikua hataki kabisa kaunta ofensivu ianze kipindi hiki ila zelensky kwa kufwata oda ya mabwana zake akafosi ianze!
Baada ya matokeo mabovu sasa mkuu wa majeshi kuonyeshwa mlango wa kutokea!
Hali sio nzuri pale Kyiv, jiko moshi unafuka!