Zelensky atembelea Kherson

Hiyo Kherson ni hatari hapafai kuishi kiumbe chochote mana hiyo ardhi imesukwa vyuma vizito vyenye milipuko ya ajabu, mrusi hakimbii ila anaondoka tu, hapo ni jehanam.
Unadhani Zelensky mjinga?
Wanajeshi wake washafanya sweeping ya uhakika tokea Jmos hadi leo.
Ukiangalia hiyo video kuna mobile tower ya kuruhusu mawasiliano baina yao na wengine.
 
Kiufupi ilitakiwa zelensky afe siku ya uvamizi ila Mungu alifanya yake
 
Ila hii vita imemuabisha sana putin!!kwani toka nikiwa vidudu niliaminishwa kuwa RUSSIA,ni taifa hatari sana ki vita,kuwa dunia nzima naogopwa!!!Sasa jamani kweli russia hii ndio tulikuwa tukiambiwa USA,hana kitu kwake,jamaa akiamua ni sekunde tu taifa la USA,linapotea kwenye uso wa dunia!!!!Bado N.KOREA.
 
Zelenksy ataandikwa kwenye vitabu vya Historia,komedian aliemtoa jasho kibabu kijasusi.Kibabu kimebaki dhofuli Hali.

Ila jamaa nnachomkubali tangu vita ianze hana habari na suti ni mwendo wa combat mwanzo Mwisho yaani muda wote yupo tayari kukwepa mabomu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tulikua tunaaminishwa Russia ndo nchi yenye air defense bora kabisa duniani lakini hii vita imetuonyesha hali tofauti,kwenye air defense nako ni dhofuli Hali. Kwasasa nchi yenye air defense bora kabisa ni Israel tu.
Haijawahi kuwa tested na Muiran
 
Russia ni Kama.Nigeria au DRC,majeshi ji ya majangili
 
Anajitetea kupitia vyombo vyake vya propaganda kwamba eti alikuwa anapigana na Nato,UK,Marekani nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…