Zelensky atembelea Kherson

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,145
Reaction score
3,765
Rais wa Ukraine, Zelenskyy atembelea mji wa Kherson uliokombolewa majuzi na vikosi vya Ukraine kutoka mikononi mwa Urusi.

Mwanaume yupo ndani ya artillery range za Urusi na hamna kitu watafanya.

Kaenda mbele kabisa kuangalia mipaka na mitego ambayo Russia walisema wameiweka.

Mwanaume huyu hapa njooni mumkamate kaingia eneo la Russia bila PASSPORT wala visa

 
Inaonesha intelligence ya Urusi iko chini sana, hawana macho angani

intelligence za. russia zimekaa kitapeli tapeli hawawez kupata sensibe data had watafute mtu ndani ya ofice wamuhonge hela wampe na ahad ya kumuhamishia russia ndo wapete data.

wenzao mgharibi na mossad agent anaingia had oficen au anakua ndan ya mita 100. na vifaa vya kukusanyia data.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…