Zelensky asema wanataka kuangamizwa

Zelensky asema wanataka kuangamizwa

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,337
Reaction score
7,179
Wanajaribu kutuangamiza Duniani' - Zelensky
Volodymyr Zelensky

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema.Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema. Msururu wa mashambulio ya makombora yaliyokumba Ukraine asubuhi ya leo ni inaonyesha wazi kwamba Urusi "inajaribu kutuangamiza Duniani," Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema.

Katika chapisho la Telegraph, Zelensky anaangazia milipuko huko Kyiv, Zaporizhzhia na Dnipro, akisema "kengele ya kuashiriahali ya hatari imekuwaikilia kote Ukraine."

"Kwa bahati mbaya, kuna waliofariki na kujeruhiwa," anaongeza, kabla ya kuwataka wananchi wake kusalia majumbani.

Urusi bado haijatoa tamko lolote kuhusu mashambulio ya leo asubuhi.

Wakati huo huo raia wanane wameuawa na wengine 24 kujeruhiwa kutokana na mashambulizi ya makombora mjini Kyiv asubuhi ya leo, msaidizi wa waziri wa mambo ya ndani wa Ukraine amesema.

Magari sita yalishika moto baada ya shambulio hilo na zaidi ya magari 15 kuharibiwa.

NB: Unaangilia vampire huku wewe muoga
 
2b102012-77d0-46d6-87cb-128265c44eb7.jpg
 
Malalamiko zaidi anasema asubuhi ya leo ni nzito sana.Maroketi yamevurumishwa nchi nzima na droni za Iran zimetanda zinatupiga....
😁😁😁 HIMARS zitawapigania, na vita itaishia crimea kama ilivyo anzia crimea.. Putin anaomba maongezi na Zele maana Russian imeishiwa siraha na mbinu.. Wanajeshia wa Russia wanakimbia mziki wa Zele... Salava Ukraine Slava Ukraine
 
Anasema wanataka watuletee vurugu lakini sisi ni Waukraine,tunasaidiana wenyewe kwa wenyewe....
 
Wakiangamizwa watakuja wengine
Acha wafe tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kesha anza fix zake huyu clown, jambazi ambaye anataka kuisababishia Dunia balaa la WW3-alipo tumia ujeuri wake na kiburi kwenda kuhujumu a critical daraja alitegemea kitatokea nini mwisho wa siku,hivi sasa anavuna alicho panda na nggoma bado atakuja kujuta kuzaliwa - jeshi la Urusi si mchezo hata kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom