Zelensky aahidi kudhibiti Luhansk na Donbas 'katika wiki moja'

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,145
Reaction score
3,765
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameahidi kuchukua tena udhibiti katika maeneo zaidi ya ukanda wa Donbas kutoka kwa vikosi vya Urusi.

Zelensky amesema haya baada vikosi vya nchi yake kutangaza kuudhibiti tena mji muhimu wa Lyman ulio mashariki mwa Ukraine.

Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilitangaza kuvindoa vikosi vyake kutoka mji huo na kwamba imevipeleka katika maeneo mengine muhimu katika mtari wa mbele wa vita.

Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin ameshangilia udhibiti wa Ukraine katika mji wa Lyman, akisema ni mafanikio ya kutia moyo ambayo yataliweka jeshi la Urusi katika matatizo.

Source Dw. na TBC taifa
 
Amiri Jeshi Mkuu, President Volodymyr Zelensky ni bingwa hasa wa kupiganisha vita! Huyu ni Daudi wa nyakati zetu dhidi ya Goliath - maguvu mengi akili kama punje ya haradali!
 
IMG_8099.jpg
 
Yes Zelensnkyy ni Daud Zelensnkyy akipigana na Goliathi Putin

Daud Zelensnkyy songa mbele songa mbele,songa .Goliathi Putin anapigika.Uwe na moyo huo huo wa ushujaa.

Mungu aliyesimama na babu yetu Ibrahim akapiga wafalme kibao single handedly akiwa na watu wa familia yake tu na vijana wa nyumbani kwake tu awe nawe

Tunakuombea Zelensnkyy unapoendelea kupiga huyo Goliathi Putin

Mungu aliyesimama na wayahudi Miaka na Miaka awe nawe

Malaika wa vita waliomsaidia Joshua kwenye Biblia na wapiganaji wengine wawe na Jeshi la Ukraine na wewe Daud Zelensnkyy unapoendelea kumpa kipigo Goliathi Putin
 
Putini anashikana mikono Ijumaa kuunganisha Donbas na Urusi, Jumamosi wahuni wanashikana mikono kurejesha miji iliyotangazwa jana yake kwamba itakuwa sehemu ya Urusi, NATO ni wanyama wabaya sana ndio mana mchina kaona aufyate aendelee miradi yake ya kutengeneza baiskeli

Hizi bunduki zao tu si sayari hii., hakuna mpinda nondo hapo ni moto tu

8a60b123-fef3-43e6-81af-4185853a9665.jpg
 
Putini anashikana mikono Ijumaa kuunganisha Donbas na Urusi, Jumamosi wahuni wanashikana mikono kurejesha miji iliyotangazwa jana yake kwamba itakuwa sehemu ya Urusi, NATO ni wanyama wabaya sana ndio mana mchina kaona aufyate aendelee miradi yake ya kutengeneza baiskeli

Hizi bunduki zao tu si sayari hii., hakuna mpinda nondo hapo ni moto tu

View attachment 2374857
Vipi Mkuu ukilinganisha hivyo vyuma na one of the mostly venerated guns - AK47 fahari ya Russia?
 
Usishangae Russia kapigwa upepo counter offensive ikaenda in a very opposite direction.
Hivi vijamaaa vinakuambia vinapiga kulia...ukijashtuka vinepiga kushoto
Lyman ndo hub ya usafirishaji, kutekwa fasta kwa maanisha Urusi atapata shida peleka vifaa Luhansk, hivyo huo mkoa kudondoka

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Amiri Jeshi Mkuu, President Volodymyr Zelensky ni bingwa hasa wa kupiganisha vita! Huyu ni Daudi wa nyakati zetu dhidi ya Goliath - maguvu mengi akili kama punje ya haradali!

What I knw this Jew cant fell on this mission, waisrael wenzake lazima either kwa mlango wa nyuma ama mbele wamsaidie manake kuanguka kwake ni fedheha kwao
 
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameahidi kuchukua tena udhibiti katika maeneo zaidi ya ukanda wa Donbas kutoka kwa vikosi vya Urusi.

Zelensky amesema haya baada vikosi vya nchi yake kutangaza kuudhibiti tena mji muhimu wa Lyman ulio mashariki mwa Ukraine.

Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilitangaza kuvindoa vikosi vyake kutoka mji huo na kwamba imevipeleka katika maeneo mengine muhimu katika mtari wa mbele wa vita.

Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin ameshangilia udhibiti wa Ukraine katika mji wa Lyman, akisema ni mafanikio ya kutia moyo ambayo yataliweka jeshi la Urusi katika matatizo.

Source Dw. na TBC taifa
Ushindi dhidi ya fashist Put in...ni dhuluma kwa dunia na uhuru kwa kila taiga.....ushindi dhidi ya Ukraine ni haki ya ukweli ambayo dunia inapaswa kuilinda
 
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameahidi kuchukua tena udhibiti katika maeneo zaidi ya ukanda wa Donbas kutoka kwa vikosi vya Urusi.

Zelensky amesema haya baada vikosi vya nchi yake kutangaza kuudhibiti tena mji muhimu wa Lyman ulio mashariki mwa Ukraine.

Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilitangaza kuvindoa vikosi vyake kutoka mji huo na kwamba imevipeleka katika maeneo mengine muhimu katika mtari wa mbele wa vita.

Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin ameshangilia udhibiti wa Ukraine katika mji wa Lyman, akisema ni mafanikio ya kutia moyo ambayo yataliweka jeshi la Urusi katika matatizo.

Source Dw. na TBC taifa
Vipi mmeshaichukua tayari
 
Leo ni December 10,2022. Vipi mbona Jana Urusi kawapongeza Askari wake kwa kuteka maeneo makubwa zaidi?
Zelensky akijifurahisha na wamagharibi wenzao. Ila Mtu kama mm huwa hata post za namna napita maana ni propaganda.
 
Yes Zelensnkyy ni Daud Zelensnkyy akipigana na Goliathi Putin

Daud Zelensnkyy songa mbele songa mbele,songa .Goliathi Putin anapigika.Uwe na moyo huo huo wa ushujaa.

Mungu aliyesimama na babu yetu Ibrahim akapiga wafalme kibao single handedly akiwa na watu wa familia yake tu na vijana wa nyumbani kwake tu awe nawe

Tunakuombea Zelensnkyy unapoendelea kupiga huyo Goliathi Putin

Mungu aliyesimama na wayahudi Miaka na Miaka awe nawe

Malaika wa vita waliomsaidia Joshua kwenye Biblia na wapiganaji wengine wawe na Jeshi la Ukraine na wewe Daud Zelensnkyy unapoendelea kumpa kipigo Goliathi Putin
ila wayahudi sio wakristo
 
Back
Top Bottom