Zekidoni & Khantwe

Naanza kuwaza kuna umuhimu mkubwa wa atoto kama ulivyonishauri kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
Naanza kuwaza kuna umuhimu mkubwa wa atoto kama ulivyonishauri kiwatengu

bado hujachelewa wakati ndiyo huu..
sema anatumia tecno java phone kuiona hii mention yako ni apite accidentally..

hivi kwani Heaven Sent bado huwa anakagua PM zako?
if not hebu anzia hapo sasa.
 
Last edited by a moderator:
bado hujachelewa wakati ndiyo huu..
sema anatumia tecno java phone kuiona hii mention yako ni apite accidentally..

hivi kwani Heaven Sent bado huwa anakagua PM zako?
if not hebu anzia hapo sasa.

Naona analeta ugomvi wa mawe wakati anaishi kwenye nyumba ya vioo. Naona amenimiss
 
Last edited by a moderator:
Baby kazi za nyymbani zinakuzidi hutaki house girl?

Kama zimenizidi si unisaidie? Kwa hiyo huyo atoto ndo unataka uniletee awe housegal au? Nimekuomba unitafutie housegal?
 
Kama zimenizidi si unisaidie? Kwa hiyo huyo atoto ndo unataka uniletee awe housegal au? Nimekuomba unitafutie housegal?

Haya mpenzi wangu mi nakusikiliza wewe tu nakupenda sana
 
Hata hamnikaribishi kwenu?Maana kujisalimisha kote nilitegemea kukaribishwa may be dinner au launch......lol

Sahizi usiku ndo maana ukaona kimya ila kesho lazima lunch iwe kwetu
 
We mwenyewe si unaona nilivyokabwa,inahitaji intelijensia ya juu sana

maswala ya intelijensia aliyamudu Baba V..
kuwa makini naona wife wako ni machachari sana!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…