Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema kuwa chama chochote cha siasa kitakachoshindwa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi hakitaruhusiwa kufanya kampeni, ingawa kitapewa fursa ya kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa ZEC, Thabit Idarous Faina, wakati wa kikao na viongozi wa vyama vya siasa na wadau wa uchaguzi wakijadili rasimu ya kanuni za uchaguzi