ZEC chini ya Jecha yakutana na Maisara chini ya ulinzi mzito

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,903
4,051
Huenda kunajambo zito linakuja soon, Maisara sasa hivi panalindwa kama ikulu, vikao vya ZEC vinaendelea.

Chanzo: Nipashe
 
Last edited by a moderator:
huenda kunajambo zito linakuja soon, maisara sasa hivi panalindwa kama ikulu, vikao vya zec vinaendelea.

chanzo; nipashe.
Una kazi sana mwaka huu. Naona umehamia kwenye siasa za Zanzibar baada ya Magufuli kuwakaba koo
 
Hapa ccm wanachotafuta CUF wasuse tu,komaeni tu mkisusa tu hapa inakuwa kama kumsusia paka maziwa ,wakitaka kurudia kubalini na mrudie pigeni kura kwa wingi wakiweza kufuta matokeo wafute tena
 
Wao wakisusa sisi twala. Wakipotea kwenye Active politics kwa miaka mitano watashika adabu
Hapa ccm wanachotafuta CUF wasuse tu,komaeni tu mkisusa tu hapa inakuwa kama kumsusia paka maziwa ,wakitaka kurudia kubalini na mrudie pigeni kura kwa wingi wakiweza kufuta matokeo wafute tena
 
Hapa ccm wanachotafuta CUF wasuse tu,komaeni tu mkisusa tu hapa inakuwa kama kumsusia paka maziwa ,wakitaka kurudia kubalini na mrudie pigeni kura kwa wingi wakiweza kufuta matokeo wafute tena
Kwanini CCM? Mbona unaongea kama uko chooni? Hatma ya Zanzibar iko mikononi mwa Wazanzibari wote bila kujali itikadi za vyama vyao.
 
wewe utakuwa unajibu uku umekalia kitu kizito nyuma,utakuwa mwendawazimu pekee kutokujua matatizo ya zanzibar yameletwa na ccm hakuna mwingine
 
Alichokifsnya ni kutii amri ya watu wengine but sidhani kuwa ni maamuzi yake mwenyewe

Na huo ndio uhaini haswaaaa! Kwa nini afate matakwa ya watu wengine wakati akipewa mamlaka ya misheria kuwa mwenyekiti halali wa ZEC na kwamba atafanya shughuli zake ambazo zipo chini ya kiapo chake, bila kuingiliwa na watu?

Ni muhaini aliyefuzu daraja LA juu LA kuhatarisha amani ya wazanzibari!
 
Back
Top Bottom