-Vijana wabunifu sana, wasanii wa kweli! Walianzia EATV-walifanya vizuri, wakawa maarufu wakaitwa Bungeni mpaka Ikulu wakajisahau wakadhani ni maarufu kuliko EATV yenyewe, wakatemwa!
-Wakaja TBC wakaanza vizuri, wakapata tenda nono, wakajiona wako juu ya DUNIA, matanuzi kwa sana, wakaanza kutukana watu (kwamba wamefulia)!
-Sasa, hawana mvuto, hawaeleweki wanafanya nini, wanaburudisha au wanaganga njaa tu! mashabiki hakuna tena, Wapo TBC tu kwa sababu ya Contract ya Vodacom, Ikiisha-KAZI BASI! Warudi kijiweni...
Tuwaite nao wamefulia kama walivyowaita wenzao??
Message;
Ukiwa Juu usijishau na usione wengine ni wapumbavu badala yake ongeza juhudi zaidi na heshimu watu wote!
kuna kipindi walimkejeli mzee mengi wa itv,tangu pale siangalii tena kipindi
hapo kwenye nyekundu na wewe walikutoa nini?-Vijana wabunifu sana, wasanii wa kweli! Walianzia EATV-walifanya vizuri, wakawa maarufu wakaitwa Bungeni mpaka Ikulu wakajisahau wakadhani ni maarufu kuliko EATV yenyewe, wakatemwa!-Wakaja TBC wakaanza vizuri, wakapata tenda nono, wakajiona wako juu ya DUNIA, matanuzi kwa sana, wakaanza kutukana watu (kwamba wamefulia)! -Sasa, hawana mvuto, hawaeleweki wanafanya nini, wanaburudisha au wanaganga njaa tu! mashabiki hakuna tena, Wapo TBC tu kwa sababu ya Contract ya Vodacom, Ikiisha-KAZI BASI! Warudi kijiweni... Tuwaite nao wamefulia kama walivyowaita wenzao??Message;Ukiwa Juu usijishau na usione wengine ni wapumbavu badala yake ongeza juhudi zaidi na heshimu watu wote!
umma unatoaje ushauri mkuu?Huenda ingewasaidia kama wangepokea ushauri / mawazo kutoka kwa umma juu ya what they can satirise!
Laaa..hh i never miss mizengwe esp when am at home during sundays,lkn i hate style ya hao akija joti...honestly jamaa wako creative ila wana lugha ya mtaro wa kutiririsha kinyesi.usipate shida mkuu katazame MIZENGWE pale ITV utafurahi na nafsi yako.
Haters mna chuki binafsi mbona vijana wanafanya vizuri tu, nia ya kuchekesha kwao ni kuingiza kipato na ni sehemu ya ajira kwa vijana ambao kama wasingepata kazi hiyo wangekuwa sehemu mbaya ila kwa sasa wanaongeza kipato chao na pato la taifa kwa kulipa kodi na kutoa ajira kwa watanzania wengine

Halafu ucheshi unamsahidia mwanadamu kuongeza siku za kuishi na kumpunguzia stress mbalimbali za maisha. Sasa nyinyi badala ya kufurahi kwa maendeleo ya watanzania wenzetu mnaanza kuwaponda. Ule ni ucheshi tu na nia ni kutufuraisha baada ya shughuli za kujenga uchumi

Wa tz tuache chuki binafsi tumekuwa sijui jamii ya aina gani kila kitu kinachofanywa na watz wenzetu tunaponda, mtu ukivaa vizuri unapondwa acheni hizo na sitaki majibu ila habari ndio hiyo

Kwa maendeleo ya Origino komedi fuata link hii http://www.mkandamizaji.blogspot.com/

Watu wanacholalamika ni kwamba siku hizi hawatuchekeshi kama tulivyowazoea,
Nakumbuka enzi zile za EATV watu wengi tulikuwa tunatoka ofisini mapema siku ya Alhamis kuwahi Ze Comed, vyuoni watu lecture za mida ile watu wanakacha kwenda kuisikiliza Ze Comed.
Kama uliiona Ze Comed ya siku zile hakika ungesema ilikuwa zaidi ya kuchekesha hasa pale walipokuwa wanatupa taarifa za Rais (au waziri f'lani) kwenda safari nyingi za nje ikiwemo na za kutazama kilimo cha mboga mboga.
Nakumbuka ni kupitia Ze Comed waliwahi kuainisha hasara serikali ilipata kwa issue ya Epa (wakawa wanasema ile fedha ukiitandandaza chini itafika mpaka Lujewa na mifano mingine mingi ya ingejenga shule ngapi, ingelipa mishahara kwa walimu wangapi), na hii waliipresent kikomedi komedi.
Leo hii wamebaki kutulazimisha kucheka, na kubaki tunawaona laini tu, hawatupi taarifa za ukweli juu ya serikali yetu kama walivyozoea kutupa taarifa huku wakituchekesha.
-Vijana wabunifu sana, wasanii wa kweli! Walianzia EATV-walifanya vizuri, wakawa maarufu wakaitwa Bungeni mpaka Ikulu wakajisahau wakadhani ni maarufu kuliko EATV yenyewe, wakatemwa!
-Wakaja TBC wakaanza vizuri, wakapata tenda nono, wakajiona wako juu ya DUNIA, matanuzi kwa sana, wakaanza kutukana watu (kwamba wamefulia)!
-Sasa, hawana mvuto, hawaeleweki wanafanya nini, wanaburudisha au wanaganga njaa tu! mashabiki hakuna tena, Wapo TBC tu kwa sababu ya Contract ya Vodacom, Ikiisha-KAZI BASI! Warudi kijiweni...
Tuwaite nao wamefulia kama walivyowaita wenzao??
Message;
Ukiwa Juu usijishau na usione wengine ni wapumbavu badala yake ongeza juhudi zaidi na heshimu watu wote!
Hii nayo pia ni indicator ya kwamba "watanganyika si mabwege tena". The biggest problem ni kwamba walivyohamia huko TBC wakaanza kuplay against the people. Tunaowaita mafisadi wao wakawa wanawasifia, wakakejeli watu wanaoaminiwa na watanzania mfano Dr. Slaa, wakawa hawapo tena update with the issues. Hebu imagine the following opportunities kwa comedian:
1. JK alivyoanguka jukwaani
2. Kuvua magamba
3. Mafisadi kuendelea kupeta ilhali wabunge wa upinzani wakikamatwa kwa masuala ya kisiasa.
4. Kujiuzulu kwa Makamba
5. Nape etc.
Sasa wako upande ule hawawezi tena kuikejeli CCM wala serikali yake maana ndiyo upande wao. Hii inanikumbusha marehemu Kolimba, kwa wanaomfahamu the guy wa one of the samartest and a no non-sense person. Wakampa licheo CCM akaanza kutetea yale asiyoamini baadae akawa anaonekana kituko na asiye na mvuto.
Vipaji bado wanavyo, wakihama tu upande you will see!!!!! Umaarufu utarudi pale pale au hata zaidi.