Ze Journey Kontinyuuz

Ze Journey Kontinyuuz

Orayt, Come this way.

Hiyo shkamoo nataka niitikie live?

Nikupe dakika ngapi?

Orait Babu here aim,
Geuka nyuma nawe utaniona mjukuu wako la tabasam kali la jtatu!!
Tayari kwa kukusikia na kukuona ukipokea shikamoo yake live!
 
Orait Babu here aim,
Geuka nyuma nawe utaniona mjukuu wako la tabasam kali la jtatu!!
Tayari kwa kukusikia na kukuona ukipokea shikamoo yake live!

Nimekuitika mjukuu wangu....

Hivi unajua kuwa mjukuu ni mke wa babu?:smile-big::welcome:
 
Hahaha hahahha,
Nalijua babu,

Je akishaolewa na mume mwingine inakuaje babu!!!!
Mjukuu ni mke wa kudumu wa babu.... yaani ukimmisi babu unatoka kwa mumeo unakuja kwa babu. Anakukagua afu unarudi kwa mmeo na roho kwatuuu..:A S-heart-2:
 
Mjukuu ni mke wa kudumu wa babu.... yaani ukimmisi babu unatoka kwa mumeo unakuja kwa babu. Anakukagua afu unarudi kwa mmeo na roho kwatuuu..:A S-heart-2:

Haahahah hahahhha hahahha,
Umenivunja mbavu baba lol!
Kwa hiyo haijalishi siku babu akitaka kitumbua lzm apewe haina majadiliano hahahahhaah!

BTW,mbona haya hukumwambia mme wangu Rejao wakati analeta mahari?
 
Mmeo yuko ICU. Mzembe alipopata matokeo ya Arumeru East Coast presha ikampa za usoni kudadadadadadadeki....

Come this way babu akuliwaze.

Manina wallah:banplease:
 
Mmeo yuko ICU. Mzembe alipopata matokeo ya Arumeru East Coast presha ikampa za usoni kudadadadadadadeki....

Come this way babu akuliwaze.

Manina walla h:banplease:
Hahahaha hahahha,
Babu hapo kwenye red lol!

Ushindwe babu,
Mme wangu mzima wa afya,
Tena niko pemben yake hapa amepumzika baada ya kumpa kitumbua lol!
 
Hahahaha hahahha,
Babu hapo kwenye red lol!

Ushindwe babu,
Mme wangu mzima wa afya,
Tena niko pemben yake hapa amepumzika baada ya kumpa kitumbua lol!
Babu hashindwi wewe:yo:

Hebu come this way bana:A S 39:
 
hakika kangedere kangu kaitwako petikash kana akili sana ,halafu nahisi kana 'special relationship' na Lizzy(Lizzy's pool?).
Big up kwa kushusha kitu chenye akili!
 
Mmeo yuko ICU. Mzembe alipopata matokeo ya Arumeru East Coast presha ikampa za usoni kudadadadadadadeki....

Come this way babu akuliwaze.

Manina wallah:banplease:

dah......mizuka mingine bana!
 
Back
Top Bottom