Mdakuzi mkuu JF-Expert Member Joined Dec 27, 2016 Posts 212 Reaction score 720 Mar 9, 2017 #1 Tamaa iliwaponza... byebye
F Farudume JF-Expert Member Joined Jan 10, 2013 Posts 3,946 Reaction score 3,689 Mar 9, 2017 #2 Mbaya zaidi walianza kutukana Wakunga kwa msala upitao.
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,904 Mar 9, 2017 #3 Waende tu hao vibaraka was ccm Swissme
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,904 Mar 9, 2017 #4 Waende tu hao vibaraka was ccm Swissme
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Mar 9, 2017 #5 Kuna mwanzo halafu kuna mwisho ujue. Ila walisema wapo likizo ngoja tuone wakitoka likizo kama wana kitu cha kuonesha watanzania
Kuna mwanzo halafu kuna mwisho ujue. Ila walisema wapo likizo ngoja tuone wakitoka likizo kama wana kitu cha kuonesha watanzania
F Farudume JF-Expert Member Joined Jan 10, 2013 Posts 3,946 Reaction score 3,689 Mar 9, 2017 #6 Bailly5 said: Kuna mwanzo halafu kuna mwisho ujue. Ila walisema wapo likizo ngoja tuone wakitoka likizo kama wana kitu cha kuonesha watanzania Click to expand... Hakuna cha Likizo yoyote hapo.Kwa ufupi walikosea njia walipokwenda TBC walipoteza washabiki wao wengi.
Bailly5 said: Kuna mwanzo halafu kuna mwisho ujue. Ila walisema wapo likizo ngoja tuone wakitoka likizo kama wana kitu cha kuonesha watanzania Click to expand... Hakuna cha Likizo yoyote hapo.Kwa ufupi walikosea njia walipokwenda TBC walipoteza washabiki wao wengi.
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Mar 9, 2017 #7 Farudume said: Hakuna cha Likizo yoyote hapo.Kwa ufupi walikosea njia walipokwenda TBC walipoteza washabiki wao wengi. Click to expand... Ndio basi tena. Wamepotea.
Farudume said: Hakuna cha Likizo yoyote hapo.Kwa ufupi walikosea njia walipokwenda TBC walipoteza washabiki wao wengi. Click to expand... Ndio basi tena. Wamepotea.
MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,092 Reaction score 7,235 Mar 9, 2017 #8 Yao mbona waliisha potea kwa game kitambo sana
gemmanuel265 JF-Expert Member Joined Feb 16, 2016 Posts 8,485 Reaction score 18,053 Mar 9, 2017 #10 Walilewa sifa wapuuzi wale wakawa wa madodoki ya viongozi wa ccm
N ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 23,713 Reaction score 57,233 Mar 9, 2017 #11 Washapiga hela wakatajirika na wana mikataba mingine minono mkataba Wao uliisha Sasa msiojua nyie pigeni kelele na majungu
Washapiga hela wakatajirika na wana mikataba mingine minono mkataba Wao uliisha Sasa msiojua nyie pigeni kelele na majungu
KUSHOKA JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 517 Reaction score 193 Mar 9, 2017 #12 Likizo isiyoisha
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Mar 9, 2017 #13 kama Joti si anavuta za tigo, wengine wachungaji, wengine MC
B black David Member Joined Dec 25, 2016 Posts 27 Reaction score 8 Mar 9, 2017 #14 wengine humu wana karama za majungu tu
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,848 Mar 9, 2017 #15 gemmanuel265 said: Walilewa sifa wapuuzi wale wakawa wa madodoki ya viongozi wa ccm Click to expand... Fundisho kwa vijana wengine.
gemmanuel265 said: Walilewa sifa wapuuzi wale wakawa wa madodoki ya viongozi wa ccm Click to expand... Fundisho kwa vijana wengine.
chief1 JF-Expert Member Joined May 4, 2015 Posts 1,418 Reaction score 1,455 Mar 9, 2017 #16 Naona mmeamka na makucha yenu Yani unaamka asubuhi unaanza kujadili watu kwa ubaya Hamna tofauti na kuwanga usiku
Naona mmeamka na makucha yenu Yani unaamka asubuhi unaanza kujadili watu kwa ubaya Hamna tofauti na kuwanga usiku
Vieloon JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 1,520 Reaction score 695 Mar 9, 2017 #17 Mdakuzi mkuu said: Tamaa iliwaponza... byebye Click to expand... waww wachungaji tu maana hakuna njia nyingne
Mdakuzi mkuu said: Tamaa iliwaponza... byebye Click to expand... waww wachungaji tu maana hakuna njia nyingne
Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,950 Mar 9, 2017 #18 MeinKempf said: Yao mbona waliisha potea kwa game kitambo sana Click to expand... nashangaa
Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,950 Mar 9, 2017 #19 chief1 said: Naona mmeamka na makucha yenu Yani unaamka asubuhi unaanza kujadili watu kwa ubaya Hamna tofauti na kuwanga usiku Click to expand...
chief1 said: Naona mmeamka na makucha yenu Yani unaamka asubuhi unaanza kujadili watu kwa ubaya Hamna tofauti na kuwanga usiku Click to expand...
Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,950 Mar 9, 2017 #20 joti ana channel yake youtube,still anafanya comedy plus mtonyo wa TIGO katulia tuliiii... Mpoki nae yuko zake E-fm plus u-MC Wakuvanga nae kwenye kilimo a.ka. Mr Kilimo burudani... Masanja pastor... and life goes on....
joti ana channel yake youtube,still anafanya comedy plus mtonyo wa TIGO katulia tuliiii... Mpoki nae yuko zake E-fm plus u-MC Wakuvanga nae kwenye kilimo a.ka. Mr Kilimo burudani... Masanja pastor... and life goes on....