commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,957
kama alivyopendekeza jana mbunge mmoja CCM jana (FUNGENI MLANGO TUZIPIGE)
. Wabunge mwaka huu bomu tu mademu ni fashion show tu na kungoja posho. Siasa za bongo kubebana tu fu..Wabunge wengi wakati wa kampeni walikuwa wanaomba kula, wamepewa na wanachi, Unategemea nini? Wengi hawana moyo wa kutumikia wananchi zaidi ya kuwa washabiki tena pengine kwenye mambo ambayo hawayaelewi. Mfano wabunge wanomba uwakilisi wa SDAC wakati hwajui kabisa kiingereza. Tena bila aibu anasimama mbele kujichafua kwa dunia nzima. Duuhhhhh. Ningekuwa mimi, pale waliposema kiinglish, ningeachana na mpango wa kujinadi kabisa kwani ingetuza heshima kwa kiasi fulani.
. Wabunge mwaka huu bomu tu mademu ni fashion show tu na kungoja posho. Siasa za bongo kubebana tu fu..
Bandikeni hapa live tuone!!Kama ni message basi imefika,ze comedy wanamuigiza spika yuko gym akifanya mazoezi ya ngumi akijiàndaa kwa ugomvi ndani ya mjengo kama ikitokea kama alivyopendekeza jana mbunge mmoja CCM jana (FUNGENI MLANGO TUZIPIGE)