ZBC 2 na basketball

mompome

Senior Member
Mar 28, 2012
145
39
Hii tv inaboa, mda wote wanaonyesha marudio ya mchezo wa basketball, kibaya zaidi mechi moja inarudiwa wiki nzima, hivi zbc hawana vipindi vya maana hadi warudie hizi mechi?
 
Kwa mie mpenzi wa NBA sio tatizo kwa hilo mkuu!!pole sana inaonesha wewe sio mpenzi wa hayo mambo
 
Back
Top Bottom