Zawadi za continental

Kilahiro

Senior Member
Aug 5, 2013
171
0
Tangu jana mchana kingamuzi kimezima hadi mda huu hatujui kinachoendelea tumebaki 2meangaliana.tunawashukuru kwa zawadi hio ambayo kila mwana familia lazima aifeel.
 
Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,090
2,000
Tangu jana mchana kingamuzi kimezima hadi mda huu hatujui kinachoendelea tumebaki 2meangaliana.tunawashukuru kwa zawadi hio ambayo kila mwana familia lazima aifeel.

hichi king'amuzi ni janga ndugu yangu mi nashukuru nina decoder nyingine.. nchi huduma kwa wateja Zero kwa kweli.. ni vipi tuta
shindana kwenye hii dunia ya utandawazi .. inatia hasira sana.. mimi ninacho muda kidogo muda mwingine kinakatika hata wiki.. daah kweli haya ndio majanga ya snura
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom