ZAWADI Yenu Kutoka Mombasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ZAWADI Yenu Kutoka Mombasa

Discussion in 'Sports' started by Boflo, May 27, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimerudi, na nimekuleteeni zawadi hii, nataraji mtaifurahia....

  TAAFADHALI SIJIGAMBE, KUA NAAKUPENDA SANA.
  SIO KWEELI HAATA CHEMBE, UONGO UUNAO NENA.
  UNAVYOTAKA JIPAMBE, SIRIDHIKI KWA KUONA.
  SITOUCHEEZEA WEMBE, UNIKAATE NAAJIONA.
  KWANGU MIMI SIRAKHISI, MOYO NIMEFUNGA SANA.
  HUUGEUKI IBILISI, BURE HIZO ZAAKO DHAANA.
  WAAMESHINDWA WALOPASI, WAAZUURI KIILA AINA.
  WOOTE HUUTANGAZA BASI, HUTANGAAZA NAAJIONA.
  HUUTANGAAZA NAAJIONAA.....
  KUKUSALIIMU WAJIBU, UTU KUSAALIMIANA.
  ISIWE NDIIO SABABU, KUSEMA YAASO NA MAANA.
  WATU WAKAATAAJABU, UONGO KWAAO KUNENA.
  KUPENDA SIITOJARIBU, HILO SAMAAHANI SANA.
  USIJIPEE UUFAKHAARI, USO WAAKO KUUCHUNA.
  UKATANGAAZA KHABAARI, BAHATI KUUVUNJIANA.
  MWENYE KUTAAKA HUKIRI, AKIPATAA HUUJIVUNA.
  NDIPO AKAATAFAKHARI, ALIPOLIIMA KAVUNA.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,307
  Likes Received: 22,111
  Trophy Points: 280
  Ngonjera?
   
Loading...