Alitaka kusema son ila huyo mtoto ni wa kike sasa!![emoji23][emoji23][emoji23]Napenda Jua Langu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee hiz lugha za watu zinatutesa sana lol!Alitaka kusema son ila huyo mtoto ni wa kike sasa!![emoji23][emoji23][emoji23]
yeye jua languWasaalam wana JF wenzangu hebu pokea zawadi hii kutoka facebook... Dadeqq...[emoji116] [emoji116]![]()
Jua ni moja ndio maana huitwa The sun linapotajwa kwa mara ya Kwanza, wakati vitu vingine vikitajwa kwa mara ya Kwanza hutanguliwa Na "a" Na kuanzia mara ya pili ndipo "the" hutumika.Alitaka kusema son ila huyo mtoto ni wa kike sasa!![emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu ni kama umamtetea... Kuna aina flani hivi ya ukweli ingawa sidhani kama alie post alikua na maana hiyo..Jua ni moja ndio maana huitwa The sun linapotajwa kwa mara ya Kwanza, wakati vitu vingine vikitajwa kwa mara ya Kwanza hutanguliwa Na "a" Na kuanzia mara ya pili ndipo "the" hutumika.
Labda hicho ndicho mwenye mtoto alichokuwa akikimaanisha.
mtoto wake wa pekee kamlinganisha Na jua, kama jua lilivyo la pekee.
Kuna watu watu wanawaita watoto wao kwa sifa mbalimbali, my hero, my star, my one and only etc.
Nakaribisha kukosolewa Na kurekebishwa