SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,244
- 4,258
Katika funguafungua ya zawadi za krismas tarehe 26/12, hamad! nikaopoa kompyuta laptop!
Aina yake ni Asus na OS ni windows 8. Nikafurahia kimoyomoyo nikisema: Mambo si ndio hayo? Mimi ni kabila la Windows XP. na sikufahamu yanayonisubiri kwenye kabila la windows 8.
Nikai -setup vizuri connection zote za umeme na kuiwasha. Mouse ni cordless. Mouse ilinichukua karibu nusu saa kuijulia, maana ina mahali pa ku-switch on na off. Kompyuta ulipofunguka ndo jasho likaanza! Desktop haitokezi automatically kama nilivyozoea kwenye winxp. Nilihangaika sana kuipata desktop.
Nikasema ngoja nijiunge na internet. Nikaingiza modem ya airtel. Kimya. No automatic installation, nothing. Tangu tarehe 26 nahangaika ku-instal modem ya airtel na sijafaulu.
Wandugu! Hivi ndivyo lilivyo kabila la windows 8? Too new to me and too complicated! If airtel modem can't be installed, so I think would vodacom modem or tigo. Imebidi nikarudie kazee kangu winxp ili kuja hapa JF.
Ninawaomba wataalamu wa win8, ntawezaje ku- instal modem yoyote ili kuaccess internet?