Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,781
- 6,140
Tegua Kitendawili Hiki Ili Tuone Kama Unaweza Kufikiri Kwa Makini. Kinasema:
"Mimi Niwakwanza Dunian Na Wapili Mbinguni, Huwa Natokea Na Kuonekana Mara Mbili Kwa Wiki, Lakin Waweza Kuniona Mara Moja Tu Kwa Mwaka Japokuwa Nipo Katikati Ya Bahari. Je Mimi Ni Nani?"
Tafadhali Naomba Nitumie Jibu Haraka.
Kama unasogea sogea hv. Ebu ngoja mwingine aje tuone..🙂
Sio anasogea hta mm naona hilo ndo jibu sahii. Mpe chake
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Sio anasogea hta mm naona hilo ndo jibu sahii. Mpe chake
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Ha ha haaaa. Nliwah kutumiwa kwa msg hiki kitendawili lkn kilinishinda
mpe jamaa hapo juu chake
jibu ni herufi E.
duniani-Earth
mbinguni-hEaven
kwa wiki-wEEk
kwa mwaka-yEar
etc etc....
Nishaongea nae Kwenye MP. Haina tabu kwahlo.
Unaona sasa tumepata jibu kirahisi kabisa. Ebu tuchange 2500 kila mtu tumtoe jamaa.
Nyote wazushi tu, kitedawili cha kiswahili majibu ya kiingereza? Siungi mkono!Umepatia mkuu, mwenyewe nilikuwa nataka kutupia!