Zawadi special for MMU ladies.

Joined
May 4, 2017
Posts
25
Reaction score
12
Weekend yangu leo imeniendee poa sana na kwavile JF is my home na upendo wangu mkuu kwa wanawake wote nimeamua kutoa kazawadi kadogo kwa any MMU LADY atakaye kuja pm na kujieleza yuko wapi na anafanya nini. Zawadi ni pesa isiyozidi TSH 200,000/=na isiyopungua Tsh 50,000/=. Maelezo yako yata determine kiwango utakachopata na kwanini upate wewe na sio mwingine.

Cheersss!!!!!!!!!!!!!!!!!!

NB.Huu sio ulimbo wa kuwanasa warembo ,so natoa angalizo kwa wale team mafisi watakao kuja na negative attitude towars this thread.
 
Mkuu ndugu naona unataka kuondoa ukame huko fasi ya PM.
 
ndio maana jukwaa la "MMU" limedorora sasa hivi.

inaonekana karibia wote wapo inbox yako mzee. fanya umalize basi utuachie MMU ladies wetu tu chati nao humu jukwaani.
 
ndio maana jukwaa la "MMU" limedorora sasa hivi.

inaonekana karibia wote wapo inbox yako mzee. fanya umalize basi utuachie MMU ladies wetu tu chati nao humu jukwaani.
Wamepanga foleni ndio maana naona MMU pamepoa tumebaki manyani tu.
 
Mmh una hizo hela kweli au ndo unataka tukupe kampan hapa
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…