stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,057 Reaction score 27,913 Jul 14, 2019 #41 Angalau mwaka huu gari ina thamani kubwa,sio unaenda kutoa zawadi ya Suzuki Swift...!
Saa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 6,553 Reaction score 13,001 Jul 14, 2019 #42 Desire Dizaya said: Ni gari mkuu.huoni kule pembeni kuna mabango.nje ya ukumbi nadhani Click to expand... bas ngoja niangalie vzur
Desire Dizaya said: Ni gari mkuu.huoni kule pembeni kuna mabango.nje ya ukumbi nadhani Click to expand... bas ngoja niangalie vzur
supercharger GT JF-Expert Member Joined Sep 18, 2014 Posts 1,024 Reaction score 1,981 Jul 14, 2019 #43 Desire Dizaya said: Inasemekana eti hii ndo zawadi atayopatiwa mshindi wa mashindano ya urembo kinondoni(miss kinondoni super model) Zawadi atazopatiwa ni kama inavyoonekana pichani,.gari na kitanda. Toa maoni yakoView attachment 1153447View attachment 1153448 Click to expand... Hiyo gari Mini Cooper naona wengi hawaijui....sio kama IST hiyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Desire Dizaya said: Inasemekana eti hii ndo zawadi atayopatiwa mshindi wa mashindano ya urembo kinondoni(miss kinondoni super model) Zawadi atazopatiwa ni kama inavyoonekana pichani,.gari na kitanda. Toa maoni yakoView attachment 1153447View attachment 1153448 Click to expand... Hiyo gari Mini Cooper naona wengi hawaijui....sio kama IST hiyo[emoji3][emoji3][emoji3]
uniq JF-Expert Member Joined Nov 22, 2011 Posts 5,089 Reaction score 31,086 Jul 14, 2019 #44 Kama ame i rate na IST atakuwa ni mpumbavu Bigteacher said: Nami nimehisi hicho kitu atakuwa ana rate hiyo gari katika level za IST Click to expand...
Kama ame i rate na IST atakuwa ni mpumbavu Bigteacher said: Nami nimehisi hicho kitu atakuwa ana rate hiyo gari katika level za IST Click to expand...