Zawadi kwa mwanaJF

Hili aendee wapi? Au kwa ajili ya DART?
 
Weee usimtaje hivo hivo maana mkweo nipo apa natizama shauri yako....

Hivi huyu jamaa yangu life is Short yuko wapi? Au kaenda kuvuna tende lol?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Wana jf yeyote hii zawadi ya utafiti tukiitumia kama huna suti unaishia mlangoni
 
haifai kwa mazingira ya Tanzania otherwise barabara ziondolewe matuta na ziwe na lami zisizo na matatizo ya makorongo..

usishangae kuona vibaka wakichangamkia side mirrors na kuvunja vioo!..

Tz ni zaidi ya tuijuavyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…