nmemshauri sijataka kujua mpenzi wake ana cd player au hana,tukianza uliza habari za mpenzi wake hapa au mapungufu wote tunaoshauri zawadi zetu zinaweza kuwa useless.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ipo kazi apa. Saa ya mkononi 3,000/=yenye kopa. Diary ndogo 3,000 Usisahau ku attach cartoon emoji anayoipenda.
Hahahaaa, mshindo nyuma!!?Feedback kwenu ile zawadi tayari nishamnunulia tena ya Tsh 3000 na alifurahi kinyama
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Hahahaaa, mshindo nyuma!!?
sikia maskini mwenzangu wala usijitutumue kwa kuhangaika sanaaaaa
5000 yako ni nyingi sana and it worth more than those digits on it
Najua huyo mpenzi wako unampenda na unajua anapenda sana nyimbo gani kuimba au kusikiliza najua umeshamfumania hata akiimba kimoyo moyo badhi ya nyimbo flani flani.
Chukua hiyo hela yako nenda kanunue empty cd iliyo ndani ya cover,usinunue zile za buku wanazoweka kwenye vikaratasi nop nunua CD zilizo kwenye cover flani kama mfano huuView attachment 1267832
zinauzwa stationary kubwa bei yake utauziwa 2000 au 3000 sasa tu assume umenunua 3000 so kwenye ile 5000 utakua umebakiwa na 2000 sasa hiyo hela nenda kwa wanao burn cd mpe mlipe 2000 then chagua nyimbo tamu tamu unazopenda wewe mpenzi wako azisikie.
Najua kuna nyimbo huwa unatamani laiti ungekua mwanamuziki ungemuimbia mpz wako,sasa put those hits in your cd hakikisha ni nyimbo tamu nzuri nzuri unazozipenda wewe azisikie zenye sweet melodies na ujumbe.
Kisha chukua CD yako ifunge kwenye Bahasha nzurii ya kaki ya 200,tulia nayo akija geto usiwe na mawenge kabisa,mpe mambo after kile cha kwanza ndio mtolee zawadi yake mpe,wakati aki smile na kutamani kujua what is inside mpe cha Pili.
Mambo muki diiiiii muki deeeee
Nimecheka wallahnmemshauri sijataka kujua mpenzi wake ana cd player au hana,tukianza uliza habari za mpenzi wake hapa au mapungufu wote tunaoshauri zawadi zetu zinaweza kuwa useless.
wewe nina uhakika mpenzi wake ana cd player? kwann hujaniuliza nina hakika huyo mpenzi wake sio kiziwi? maana kiziwi hasikii kabisa, Fine wewe unaweza taka amnunulie saa ya mkononi Haya tuambie una uhakika huyo mpenzi wake ana mikono?
Amnunulie viatu,una uhakika huyo mpenzi wake ana miguu? SOMETIMES tusijitie kujua sanaaaaaa ukiona mtu kashauriwa kausha as long as ushauri sio wako mwenye kutaka ushauri ndio atachagua ushauri upi unamfaa na zawadi ipi akamnunulie mpenzi wake maana yeye ndie anae mjua zaidi kuliko sisi wote humu.
Na hawezi kutuambia mpenzi wake ni mlemavu,au hapend hki au hapend kile yeye kaenda stright kuwa anataka zawadi ya gharama flani,mshauri mtu vile alivyotaka.
nini tena mamadaaah
nini tena mama
Acha hizo mkuu labda nisiwe mimihereni siyo heleni>>>>>>>> HUYO DEMU ATAKUJA KUCHUKUWA ZAWADI NA MZIGO HULI MAANA KWANZA WEWE NI MSHAMBA>>>>>>> HUWEZI KUTOJUA kuandika HERENI ukaandika HELENI>>>>>>>>> lazima akuambie anavuja damu maana hata hivyo hujui!
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zawadi ni zawadi mkuuKuna member humu aliashawahi kupost alimnunulia mpenzi wake zawadi ya cherehani.Huyo mwanamke wacha anune.