Zawadi gani nzuri kwa mwenzi wako

Je! ni zawadi gani nzuri ya kumpa mwenzi wako?????????
Hili swali naona kama tunategana, maana ukweli watu siku hizi wanapenda fedha zaidi. Sawa unaweza kumpelekea ua, unaweza kununua nguo na vitu vingine, lakini watu wanapenda fedha.

Zawadi ifaayo katika maisha ya ndoa ni kupendana kwa dhati na kufanyiana mambo mazuri. Mheshimu mwenzi wako, na endelea kubuni mambo mazuri ya kumfanyia. Kama kweli unampenda, ni wazi hutapenda awe mnyonge.
Katika mapenzi kila mwanandoa anapaswa kufahamu kuwa analo deni la kumpenda na kumfanyia mema mwanandoa mwenzake.

Unaweza ongozea majibu.................

Kwa ndugu zangu Wahaya ni SENENE...tehteee
 
nAONA WENGI MNAONGELEA ZAWADI YA KUPEWA MKE...Je ya kupewa mume kutoka kwa mkewee..!!?? Mi sijui zawadi ya kumpa hadi nione kunaumuhimu wa kumpa huyo mke wanguu maana wengi wamekaa kimtegomtego.Unaweza kumpenda kufa kumbe yeye kampenda houseboy au mlinzi.
 
Back
Top Bottom