Zawadi gani nitaje?

Khalid91

Member
Feb 2, 2020
37
125
Habarini, one of the friends anatoka Ujerumani anakuja Tanzania kutembea ameniuliza nimtajie zawadi gani aniletee.

Nikamwambia yoyote utayoona sawa, akasema hawezi jua my taste so niseme tu nataka nini.

Sielewi kwamba naweza kutaja kitu kikawa expensive nitaonekana na tamaa nitaharibu reputation au inakuwaje.

Nimeleta tudiscuss experience za maisha
 

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
38,006
2,000
Mkuu hujaweka kitu kimoja muhimu sana.

Una ukaribu gani nae maana zawadi inategemea inatoka kwa nani kwenda kwa nani?
 

Zabron Hamis

Verified Member
Dec 19, 2016
3,366
2,000
Taja kitu chochote ambacho una uhakika ni cha bei ya kawaida lakini kinaweza kubaki kama kumbukumbu. Kisiwe kitu cha kula lakini . Wenzetu wanathamini vitu vya kawaida tofauti na haya makupe ya kwetu yanayokula mpaka nauli.

Niamini mimi, usipokuwa mwenye tamaa utashangaa atakavyokuja navyo. Lakini zawadi yako itakonga moyo wake ukibahatika kutaja kitu anachokipenda pia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom